georgeallen
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 4,120
- 1,881
Kwani Membe naye alikuwa anautaka "URAHISI"?. Ina maana watu wenye uwezo wa kuwa RAISI wamekwisha? Makosa ya 2005 na 2010 marufuku 2015.
Hahahhahah! kukilacho kinguoni mwako! Yeye hakujua kama wakati mwingine rafiki ndiyo adui namba moja.
Searching...100%
Loading...0%
Network failed !
Kumbe hata Jf kuna wambea !? Duh
Rais wetu ni Mbowe wewe unasemaje
Hii post yako itatusababishia BAN tafadhari ifute!dr. slaa ndani ya ikulu 2015
Baada ya Kambi Mbili zenye Nguvu ndani ya CCM kuangushwa Vibaya na CDM katika chaguzi za Ubunge huko Arumeru Mashariki ( Namzungumzia Lowasa) na Udiwani huko Kirumba na Kiwira ( Namzungumzia Sitta)
Je ni wakati Muafaka sasa kwa CCM kuanza kumuandaa Benard Membe Apeperushe bendera 2015? Wana CCM Mnasemaje?