Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,217
- 3,123
Asavali..
du umeniwai mkuu kumbuka hata lowasa hajatanganza rasmiNi wapi alisema anagombea? Unatupa jiwe kichakani kuona nini kitatoka? umenoa!
Ni wapi alisema anagombea? Unatupa jiwe kichakani kuona nini kitatoka? umenoa!
Hahahhahah! kukilacho kinguoni mwako! Yeye hakujua kama wakati mwingine rafiki ndiyo adui namba moja.
Hahahhahah! kukilacho kinguoni mwako! Yeye hakujua kama wakati mwingine rafiki ndiyo adui namba moja.
amenambia mtoto wa mdogo wake ni baada ya kuona usalama wake unakuwa matatani halafu wajanja wanamla pesa tu
amenambia mtoto wa mdogo wake ni baada ya kuona usalama wake unakuwa matatani halafu wajanja wanamla pesa tu
na watamfilisi asipokuwa makini
ID maalum hizi, zinaitwa Saidia Lowasa Ashinde hata ikibidi kutoa tigo.wewe unaishi vietnam nin?
Member Array