Membe kuwania urais 2015...

If Member becomes President, we easily join IOC, and severe relations with Vatican.
 
You are probably right that in your oponion, he should have spoken what you thought was right. Unfortunately, there can never be an agreement or rather a unanimity katika masuala ya foreign policy. Hata critics wa Obama wanalalamikia sera zake kuhusu engagement na muslim owrld kwani wao wanadhani ku-engage nao ni ku-engage magaidi. Hivi unadhani hata huyo Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi katika kila sera au kila tamko? Hukumbuki alishutumiwa kwa msimamo wake kuhusu vita vya Biafra?

Kama yeye alisema kwamba msimamo wetu katika hilo ni ku-observe a wait and see attitude, then huo ndiyo msimamo wa nchi, rightly or wrongly. Sasa kama kuna ambao walitaka akurupuke na kulaani in the name of kuonyesha msimamo thabiti wa nchi ni kupotoka kusiko na sababu. Let's be objective sometimes.
 
So what agombee ili alete impact gani nzuri kwa taifa? Afe tu!
 
]

Hiyo kauli inashika kotekote,hata katika maisha ya kawaida.Kama kuna mtu anakusaidia katika maisha yako na bila yeye maisha hayaendi basi ujue umeshakuwa mtumwa wa huyo mfadhili wako.Hutakuwa na maamuzi yako wala mawazo yako,hutakuwa na mawazo huru,utaongea na kufanya ya kumpendeza master wako siku zote.
Membe ana play neutral kumuogopa mmarekani na scholarship za Gaddafi.Alitumwa akatoe tamko kuhusu OIC lakini baada ya kuitwa na kubanwa na Pengo,ameamua kunyuti na ku play safe kwa kuogopa kukosa kura za wakristo mwaka 2015.
Ubaya wa siasa za ku play safe ni kuwafanya watu wakujue kuwa hauna msimamo.
 
hiyo thamani ya miwani na maswala ya rangi ya kiatu unasema wewe

lakini tabia katika interview ni kitu muhimu
kunywa maji kila saa kwenye interview inaashiria maswali ni magumu na una buy time, kama unajibu maswali vizuri hupati time ya kunywa maji mpaka interview inaisha au unaweza kunywa maji mara moja tu katikati. kutulia kwenye kiti ni muhimu kwenye interview

otherwise katika kujibu maswali hakufanya vibaya compare na watu ambao ana compete nao potential candidates ie lowasa, tibaijuka, mwandosya, magufuli etc

kama ni wewe ndio mshauri wake please mwambie awe anatulia kwenye interview na sio kujitupa
 
 
naishukuru sana JF maana ina threads serious na za utani wa kukupunguzia uchovu.
hili la kuzunguka kwenye kiti na kunywa maji nadhani ni vigezo va urais kwa mwaka 2015.
kuna umuhimu tuache address watu na tuaddress issues...
 
I didn't see the program itself but I think there is difference between arrogance and confidence am not sure whether the gentlemen was arrogance or confidence.

Concerning his comments whether with Egypt or Libya, there is a thought that he was acting as specialist on that aspect. Is not that an easy to come to conclusion that he was wrong or right, the time will tell.

It is important to note that, even those super power will have different ideas on how to deal with the matter, for example UK and US have different ideas on how to handle Libyan conflict. All I want to say is that foreign policy is not something that any one can judge whether someone was wrong or right on face value. However what am certanly sure is the fact that there is a sense of something being right or wrong by considering what is called international community stand. In the question whether Tanzanian stand will make that difference I can't tell.

Comming back to presidency position there is feeling that Tanzania is leading to more democratic society where prisidence candidatae will have really to prove his suitability for the position.
 
Kweli Mh. Membe hafai kuwa Raisi wa Tanzania kwa kufanya uchambuzi yakinifu wa haraka haraka mfano:

Mh. Membe kama Waziri wa Mambo za Nje ukichanganya na uzoefu wa Mh. Rais Kikwete wa miaka 10 kama waziri wa mambo ya nje, Tanzania tungekuwa na 'sera ya mahusiano ya kimataifa madhubuti' inayoweza kukabiliana na changamoto zozote iwe kubaini kama kuna tija kwa Raisi wa Tanzania kuhudhuria mikutano lukuki (Gbagbo etc)

Clip ya chini ''Mheshimiwa Rais Membe'' akishangaa shangaa wakati akiteremka toka ktk gari kwa kupokelewa kama vile yeye ndiye mkulu ''a disaster. The second part of the video shows the arrival of President Jakaya Kikwete of Tanzania' - AU meeting:

Clip ya chini Inaonyesha mambo hayakuwa madogo Ivory Coast cheki ulinzi aliokuwa nao Raisi Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini kuashiria safari ya kumpatanisha Gbagbo ilikuwa hatari Kikwete kwenda:
 
Last edited by a moderator:
Halafu alinwacha hoi pale alipoonekana kutoijuwa vyema historia ya Misri. Alisema nchi hiyo imekuwa ikitawaliwa kijeshi trangu 1952 baada ya mapinduzi ya Lt Col Gamal Abdel Nasser. Siyo sahihi. Baada ya kufa kwa Nasser mwaka 1970, nchi ilitawaliwa kidemokrasia na kuwapo vyama vingi vya siasa. Kile chama pekee chini ya utawala wa Nasser, Arab Socialist Union (ASU) kilijibadili na kuwa National Democratic Party (NDP) chini ya Rais Sadat na ndicho kilichokuwa kinashinda kila uchaguzi -- kama vile CCM -- kwa ushindi wa kishindo 96%+.

Kwa hivyo ingawa viongozi wote wa Misri tangu 1952 -- yaani Gen Naguib, Nasser, Sadat na Mubarak walikuwa wanajeshi, lakini kuanzia 1971 nchi haikuwa inatawaliwa kijeshi -- ilikuwa inatawaliwa kidemokrasia ya kimabavu mabavu tu. Hao viongozi waliacha kuvaa magwanda yao ya kijeshi na kujikita katika mavazi ya kiraia.
 
Hivi bado watu tunatarajia kuongeza muhula mwingine wa utumwa wa C** 2015?
Tunamjadili Membe, EL? guys tuanzage basi kwa sirias na nchi yetu!
 

Kitila,

Membe has a serious Problem,he lacks diplomatic qualities when dealing with Serious Issues.No wonder Foreign policy yetu inatoa Room kwa ajili ya kuwa neutral hata kwa tawala kandamizi,kwa jinsi ilivyo sasa hata ingekuwa ni kipindi kile cha apartheid SA,bado tungesema tuko Neutral au Enzi za Nazism! It is a shame.

Tanzania's foreign policy recently has been characterised by inconsistency and incoherence. It has lacked the clarity to make us know where we stood on matters of international concern to enable other countries relate to us with seriousness. Our role as Africa's spokesman has diminished because we have been unable to maintain the respect of African countries.

Tanzania became a country that has reacted to given situations, rather than taking the initiative as it should and always been done. More so, vengeful considerations must not be the basis of our diplomacy.

NOW MEMBE AND YOUR THINK TANK,DO THIS :


African problems and their solutions should constitute the premise of our Foreign policy.

The realisation of the Organisation of African Unity ,Plan of Action for self-sufficiency and constructive co-operation in Africa shall be our primary pursuit.

The Economic Community of East African States must be reborn with the view to achieving the objective of regional integration. The problems of drought-stricken areas of Africa will be given more attention and sympathy, and our best efforts will be made to assist in their rehabilitation within the limits of our resources.

Our membership of the United Nations Organisation will be made more practical and meaningful. The call for a new International Economic Order which lost its momentum in the face of the debt crisis will be made once again.

Tanzania hereby makes a renewed request to the Non-Aligned Movement with China's rising to challenge America(UNIPOLARISM) to regroup and reinvigorate its determination to restructure the global economic system, while we appeal to the industrialized nations to positively consider the debt plight of the developing countries and assist in dealing with the dangers that face us. We shall remain members of the various multilateral institutions and inter-governmental organisations which we belong to and do what must be done to enhance the membership and participation within them.

Guys,this country has had since independence a history mixed with turbulence and fortune. We have witnessed our rise to greatness, followed with a decline to the state of a bewildered nation. Our human potentials have been neglected, our natural resources put to waste or looted by those who had been given mandate to govern. Corruption,Impunity and lack of clarity internally and Abroad through our Embassies is the order of the day.We should establish clear mechanism for Tanzania investment Center and our Foreign offices to Design our Policy in to an Economic Diplomacy.We lack special think tank,rather an Independent one for our national Security council,A phenomenon of constant insecurity and overbearing uncertainty has become characteristic of our national existence.

Now, We recognise that a government, be it civilian or military, needs the consent of the people to govern if it is to reach its objective. We do not intend to rule by force. At the same time, we should not be expected to submit to unreasonable demands. Fundamental rights and civil liberties will be respected, but their exercise must not degenerate into irrational expression nor border on subversion.

The War Against Indiscipline will continue, but this time, in the minds and conduct of Tanzanians, and not by way of symbolism or money-spending campaigns. Citizen Diplomacy

Inorder to achieave all these,we need a self-disciplined foreign minister,intelligent,innovative,visionary and professional diplomat who parsue constant modification by watching the current and future Trends of the world power,either from periphery or from the field.Membe lacks all these qualities,so sad.
 
 
Waziri wa mambo ya nje bw. membe naona ni kama ametoswa "KWISHNEY" 2015 maana kuchomolewa kwake pale kwenye CC ni kama kifo chake kimewadia kisisa.sijui hii mijizi ya ccm itatuwekea nani 2015.naomba tujadili wanajf.
 
aTOKE ZAKE HUKO MIMI NAMUONA ANAAKILI KAMA ZA JK!
TUSIJEPATA RAISI MWINGINE KAMA JK HATA KWA BAHATI MBAYA!
AKAFIE MBALI HUKO!
 
Mkuu iyo ndo adithi ya mauza uza ya ccm,kwa mtindo wao hamna hata wa kuikomboa ccm hapa ndo wame sow the seed for their destruction! Tukae tuone ujingwa wa ccm! Mjinga ni mjinga tu,ccm imekwisha.
 
Hakuna kiongozi mzuri anaeweza kupatikana ndani ya CCM kwa sasa. kwahiyo waache wafu wazikane.
 
Mkuu iyo ndo adithi ya mauza uza ya ccm,kwa mtindo wao hamna hata wa kuikomboa ccm hapa ndo wame sow the seed for their destruction! Tukae tuone ujingwa wa ccm! Mjinga ni mjinga tu,ccm imekwisha.

Wao wenyewe ndio wanaona wamefanya mabadiliko kumbe hamna kitu, kiama chao 2015.
 
Waziri wa mambo ya nje bw. membe naona ni kama ametoswa "KWISHNEY" 2015 maana kuchomolewa kwake pale kwenye CC ni kama kifo chake kimewadia kisisa.sijui hii mijizi ya ccm itatuwekea nani 2015.naomba tujadili wanajf.

acha uzushi!!! hakuna waziri atakaye kuwa kwenye secretariet ndivyo walivyoamua ccm kuanzia sasa, ili pawepo na accountability kwa upande wa chama na serikali!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…