Membe kugombea urais mwaka 2015 iwapo...

Ndugu wana jamii Forum naleta kwenu hapa jamvini taarifa kutoka chanzo kimoja cha habari kimenadi kuwa waziri wa mambo ya nje Bernard Membe atajitosa sakata la urais 2015. Je kukubalika kwake kwa wananchi kukoje? Jadili
 
Kwa shida hizi ninazozipata kupitia kwa huyu ndugu yake aliyepo, Hata Membe akigombea na Ng'ombe ntachagua ngombe. Atanifaa kwa maziwa, mbolea, kulimia na nyama kama ntamchoka.
 
Huyu membe anawafanya watz ni wajinga sio?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kwa shida hizi ninazozipata kupitia kwa huyu ndugu yake aliyepo, Hata Membe akigombea na Ng'ombe ntachagua ngombe. Atanifaa kwa maziwa, mbolea, kulimia na nyama kama ntamchoka.

Membe si kitu kwa Lowasa! Akipata Urais si atawaua maadui zake 11 wote kama alivyoahidi?
 

Membe hawezi kuwa Rais ..Labda Rais wa Jamuhuri ya Njozi!!!!

Ameshindwa kusimama na kuonyesha uongozi wakati wananchi wa Kusini wakifanya Vurugu za gas...na korosho ...ili kuwasaidia..wananchi na kuisaidia serikali kupata suluhu.....Namna Membe alivyoshuhulikia suala la Kusini ni sifuri ....amekimbia lawama ...Badala ya kutuonesha watanzania uwezo wake .


Kumchagua Membe ...Itakuwa ni kuendelea na Miaka Mingine Kumi ya siasa za Ubabaishaji...na ujanja ujanja zinazoendelea kwa sasa...


Rekodi ya Membe haioneshi amefanya jambo gani la kijasiri kustahili kuwa Rais...Kama tulivouliza mwaka 2005 kwa Kikwete..tuna uliza na sasa..iPo wapi rekodi ya utendaji ya Membe ?

Bado tunayo hofu juu ya maadui zake 11 ( wakiwamo wana siasa wafanyabishara na waandishi ) alisema Siku akioteshwa na kuwa Rais ...atawashughulikia na wajiandae kukimbia nchi....ile lilikuwa kosa kubwa sana kisiasa.
tuna Amini kwa Majibu wa katiba Kila Mtanzania Ana haki ya kuishi..,na kuweka makazi mahali anapoamua ndani ya Jamuhuri ...Sasa tunapokuwa na Rais ambae wazi ameshatishia kuchukua haki za watanzania wenzetu kwa uchache kumi na moja...hadharani katamka ...ni kwanini turuhusu awe Rais!!!!!!!
 
safi,,,,, ni kijana makini ana nia nzuri sema watamchafua tu atafanana na wao akishatinga mjengon.
 
Kwani Rais lazima awe amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje,tuscream waTanzania.Mozoea ndo yametufikisha hapa tulipo na tunaelekea kuzama kwa sababu ya mazoea ya kipumbafu
 

kama anaamini ridhaa inatoka kwa wananchi mtandao anaoangaika nao ni wa nini?kwanza atutajie madui 11.hivi sifa ya rais lazima awe waziri wa mambo ya nje?
 

vikao vyenu vyote vyakutengeneza mtandao kwa kutumia watu waliotumika 2005 kwenye mtandao wa jk zipo wazi kwa bahati mbaya zaidi vijana wengi ambao walikuwa fore front walishacross red carpet mnatumia tiss kuwa pigia simu kuwaset then membe anawapigia kwa gia kuwa eti yeye ndo mteule wa kikwete.ccm lazima mfe kwanza ndo mzaliwe upya!
 
Kwani Rais lazima awe amewahi kuwa waziri wa mambo ya nje,tuscream waTanzania.Mozoea ndo yametufikisha hapa tulipo na tunaelekea kuzama kwa sababu ya mazoea ya kipumbafu

sio lazima lakini kiongozi imara hutoka ndani ya CCM.
 
Walau CCM wanafanyaga uchaguzi kupata wagombea wao...

Ukitaka uchokoze hasira na BP za mzee Mtei lete ushindani katika siasa cha uchaguzi ndani ya Chadema. Nafasi ya urais ni ya kaskazini kuanzia 2005 mpaka atakapoondoka duniani.
 
Ukitaka uchokoze hasira na BP za mzee Mtei lete ushindani katika siasa cha uchaguzi ndani ya Chadema. Nafasi ya urais ni ya kaskazini kuanzia 2005 mpaka atakapoondoka duniani.

na wenzetu wanachaguliwa na "wazee wa chama" wakiongozwa na mkwe "mzee Mtei".

Mmesahau ni Chama cha "Demokrasia" na Maendeleo? Hiyo ndiyo demokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…