Membe kubebwa na hoja ya Katiba mpya

Membe kubebwa na hoja ya Katiba mpya

Nitaendelea kumkubali magufuli,nimepata kazi kwenye awamu yake bila kutoa hata senti 5 nitaachaje kumpigia magufuli kura
 
Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.

Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.

Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.
Hoja yako haiakisi mawazo ya wapiga kura wengi ila inawakilisha kundi dogo la wanasiasa ambao kwao siasa ni ajira, siasa ni baba na mama wao, siasa ndiyo njia kuu ya kujipatia riziki.

Ukweli Katiba iliyopo haina mapungufu makubwa ya kuathiri maisha ya Mtanzania wa kawaida, katika shughuli zake za kila siku za maisha.

Katiba, kama sheria mama ya nchi, ni sawa na Biblia au Kurani zinavyotumika kuongoza imani za waumini lakini maandiko yaliyomo hayamzuii mwumini kuishi jinsi anavyoona inafaa.

Kwa hoja yako hiyo Membe siyo Rais mtarajiwa kwa mwaka 2020 labda ajipange kugombea 2025. Kuna wanaCCM wengi wenye sifa kedekede za Urais.
 
Katiba ya CCM si imefanyiwa marekebisho kwamba aliyeko madarakani hashindanishwi kura za maoni so hadi 2025!! Jinsi jamaa mulivyomg'ang'ania kumpamba huyu jamaa yenu likely ndo mgombea kupitia upinzani 2020.
Upinzani labda umepanga kumchukua na kuwa mgombea wao, lakini ndani ya CCM ni mtu au mwanachama wa kawaida sana. Hata alipokuwa Waziri wa Mambo ya nje hakuna chake cha kukumbuku alichokifanyia nchi hii.
 
Hatutaki katiba inayodai demokrasia inayovuka mipaka,bora iendelee kucheleweshwa,
 
Membe ata ahaidi iyo katiba mpya Sisi watanzania Tupo na JPM. Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.
Uhuru hawezi fanya mambo yanayofanywa na Jiwe, katiba haimruhusu!
 
Twende na Membe 2020 huyu kashindwa kutuunganisha!!!!!!!!!!!!
 
Hoja yako haiakisi mawazo ya wapiga kura wengi ila inawakilisha kundi dogo la wanasiasa ambao kwao siasa ni ajira, siasa ni baba na mama wao, siasa ndiyo njia kuu ya kujipatia riziki.

Ukweli Katiba iliyopo haina mapungufu makubwa ya kuathiri maisha ya Mtanzania wa kawaida, katika shughuli zake za kila siku za maisha.

Katiba, kama sheria mama ya nchi, ni sawa na Biblia au Kurani zinavyotumika kuongoza imani za waumini lakini maandiko yaliyomo hayamzuii mwumini kuishi jinsi anavyoona inafaa.

Kwa hoja yako hiyo Membe siyo Rais mtarajiwa kwa mwaka 2020 labda ajipange kugombea 2025. Kuna wanaCCM wengi wenye sifa kedekede za Urais.
Tukianza kuorodhesha mapungufu ya katiba iliyopo page haziwezi kutosha, after all walioanzisha mchakato hawakuwa wajinga.
 
Membe ata ahaidi iyo katiba mpya Sisi watanzania Tupo na JPM. Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.
Ubora wa katiba ya Kenya huwezi kulinganisha na yetu, mawaziri hawateuliwi wana apply, jaji mkuu ana apply anafanyiwa interview na wengine hateuliwi, magavana ambao kwetu ni wakuu wa mikoa wanachaguliwa na wananchi, wajumbe wa tume ya uchaguzi wanatuma maombi wanafanyiwa interview, hao wote kwetu wanateuliwa na mtu mmoja. hayo ni baadhi tu yanaonesha ubora wa katiba ya Kenya.
 
Katiba mpya yenye mashiko inatakiwa kuwepo serikali ya mpito kwanza harafu ifanyike mchakato mzima wa katiba.ni ngumu kwa serikali ya CCM kujivua madaraka.Shida ipo hapo ubinafsi wanapohisi watapoteza madaraka wanachomoa.
 
Mimi nadhani twende na JPM 2020, halafu hayo mambo mengine yatafuata 2025 au wengine mna maoni gani?.
 
Kuwepo na malumbano ya hoja kuhusu uboreshaji wa katiba ni kiashiria(Indicator) kinachoonyesha kuwa Uelewa wa Watanzania unakuwa wameanza kujitambua.Tusiwabeze wa Kenya wao wako mbele hata kimaendeleo ,pamoja kuwa na wrangles za kisiasa ni mchakato ya kuweka mambo yao sawa.Taifa ambalo lina wasomi na wanasiasa ambao hawatoi ushauri,mapendekezo yao kwa taifa kwa kuogopa kupoteza maslai yao au vyeo ni shida.Why can't you revisits hotuba za Mwalimu Nyerere alikuwa ni muwazi na akwenda na wakati .
 
Zaidi hapo kinacholengwa ni kupata tume huru ya uchaguzi. Kwaupande wa wanasiasa wanafurahi. Lakini katiba mpya kwa wananchi wa kawaida hawajatwambia nini zaidi kitapatikana
 
Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.

Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.

Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.
Kuna liccm lolote linalotaka katiba mpua?
 
NA sitaki hata kuujua maana hapo ni matumizi mabaya ya pesa za uma tu tena hapo watu wanataka kupiga dili tu hakuna chochote subirini miradi mikubwa iishe ianze kuzalisha uone tunakoelekeakwenye maziwa na asali
Mkuu siyo lazima uje kuchangia humu, kuna majukwaa mengine lukuki humu JF ya kukufaa. This is too much for you, No pun intended!
 
na wewe utakuwa muathir
Mkuu siyo lazima uje kuchangia humu, kuna majukwaa mengine lukuki humu JF ya kukufaa. This is too much for you, No pun intended!
ika wa kukosa hela za katiba mpya pale mjengoni nishakuona acha hasira wacha mkuu ajenge nchi kwanza ushabikiwenu baadae
 
na wewe utakuwa muathir

ika wa kukosa hela za katiba mpya pale mjengoni nishakuona acha hasira wacha mkuu ajenge nchi kwanza ushabikiwenu baadae
Ndo maana nikakwambia inawezekana jukwaa hili kidogo limekuzidi mkuu.

Ujenzi wa nyumba yako siyo sawa na ujenzi wa Taifa. Unaposema eti “tumwache ajenge”

All size don’t fit all!
 
Back
Top Bottom