Membe kubebwa na hoja ya Katiba mpya

Membe kubebwa na hoja ya Katiba mpya

ndilo wanalotaka sasahivi wapige hela hali mbayaa!!!!??
Magufuli kawashtukia..baada ya hapo wanaingia mtini wanajifanya wamesusa..wanasubiri ngwe nyingine tena waitishe katiba...hii katiba mpya imekuwa mradi wa wanasiasa.
 
Si wanasema wana tundulisu? Au wanaona haenei kwenye hiyo nafasi?
hata angekuwa anaenea mpaka aje apate hiyo nafasi ya kugombea urais lini?? wakati mkuu aliuza chama aliyenunua kashindwa kuingia ikulu sasa akipatikana mwingine anauziwa tu lusu hana hela ya kununua
 
hata angekuwa anaenea mpaka aje apate hiyo nafasi ya kugombea urais lini?? wakati mkuu aliuza chama aliyenunua kashindwa kuingia ikulu sasa akipatikana mwingine anauziwa tu lusu hana hela ya kununua
Sasa mbona kina waitara wakimpigania ye anabaki kuwakejeli tu..? Anadhani anapenya kirahisi bila watu kumpambania huko chadema?
 
Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.

Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.

Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.
Hawezi kula matapishi yake. Si alishiriki BMK la hayati Sitta? Halafu ataambiwa na CCM wenzake ajiunge na UKAWA watamfukuza. Kwanza huyu mtu ni kama wengine wote, hana jipya. Ni kivuli cha marais wawili waliopita.
 
Hivi watu mnatoa wapi ndoto za mtu mwingine kugombea huko cccm? ikiwa aliepo ameshabadili katiba hatakiwi yeyote kutangaza nia mpaka mwenyewe kabisa atakapoamua kuacha mamlaka...nahuko ugambani unafki ndio sehemu ya maisha yao hakuna mwenye jeuri yakusimama nakuusema ukweli hadharani so watu tuendelee na maumivu tu
 
2020 labda Membe akagombee kupitia CUF, CHAUMA au CHADEMA. Mzee baba JIWE keshajimilikishia hiyo slot ndani ya CCM until 2025. Kufikiria tofauti ni kujitoa ufahamu na kuota ndoto za mchana
 
Tatizo upinzani kuna kitu hawajaelewa,wananchi wengi hawajui umuhimu wa katiba na wala hawana time nayo wao wanachotaka ni huduma nzuri za kijamii na utatuzi wa changamoto zao
kwa mfano nenda sehemu ambayo hawana maji na hospitali halafu waambie nitawaletea katiba mpya huwezi kupata kura
Ukija na hoja ya katiba utapata sapoti ya wasomi ambao ni wachache nchini na wengi huwa hawapigi kura
Leo nenda vijijini mwambie Masai kuwa nichagueni mimi nitawaletea katiba mpya lazima wataona manyota nyota na watakuona mpuuzi fulani hivi
 
Katiba ya CCM si imefanyiwa marekebisho kwamba aliyeko madarakani hashindanishwi kura za maoni so hadi 2025!! Jinsi jamaa mulivyomg'ang'ania kumpamba huyu jamaa yenu likely ndo mgombea kupitia upinzani 2020.
kwani huyu sio jamaa yenyu tena!!!!
 
Mnamharibia na kumchonganisha membe na watawala.
Haya maji usipime.
Shauri yenu
 
Membe ata ahaidi iyo katiba mpya Sisi watanzania Tupo na JPM. Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.
andiko la kipuuzi sana !
 
Leo hii hata wana-CCM wamejua madhara ya mtu mmoja kuwa na madaraka makubwa na ya kupitiliza japo hawawezi kukiri hadharani.

Ww msemaji wa wana CCM..? Nani kakutuma useme uongo huu?
 
Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.

Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.

Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.

Chadema mna shida sana.. Hv huko kwenu wagombea urais ndani ya CDM mna hata uhuru au uwazi wa kugombea hata uenyekiti? Sbb nachojua huko ndio ONE MAN SHOW.. yaani ruzuku zinaliwa na hakuna kuhoji, ukitaka kugombea urais hadi uhonge, ukitaka kugombea uenyekiti utafukuzwa kama mbwa koko na kuitwa msaliti..

Ww toa kwanza boriti ktk jicho lako..
 
....hiyo ni siasa tu fikiria mambo yanavyoenda sasa uchumi unakua ajira zinatengenezwa kila mtu akiwa na afueni ya maisha hiyo katiba mpya ya nini provided hiyo iliyopo sasahivi HAIMUUMIZI MTU zaidi ya watu kutaka mambo ya kisiasa tu

“Kutokumuumiza Mtu” hapo pana maana kubwa sana kuliko unavyoelewa
 
Back
Top Bottom