Membe kubebwa na hoja ya Katiba mpya

Membe kubebwa na hoja ya Katiba mpya

Membe ata ahaidi iyo katiba mpya Sisi watanzania Tupo na JPM. Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.
Tuambie mgogoro mmoja huko kenya. Acha uzwazwa. Rais akitangaza kuanza mchakato pia utaanza kusifia,mi ccm mingine ni ya hovyo!
 
ya Warioba au iliyopendekezwa

Rubbish
Alikuwa mjumbe wa BMK hakupigania katiba mpya, alipotoswa ndiyo akumbuke katiba mpya, zote ni harakati za kuchumia tumbo, dhambi ya usaliti na kaka yake itawatafuna kwa kufuja mabilioni ya watanzania
 
Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.

Kenya ndiyo role model wetu! Je hatuwezi kufanya yetu bila kujifananisha na Kenya ili yeye ajifunze kwetu!?
 
Membe ata ahaidi iyo katiba mpya Sisi watanzania Tupo na JPM. Kenya wanakatiba mpya lakin yaliyotokea baada ya uchaguzi imeonyesha walipoteza muda na fedha na katiba haijawa suluisho katika migogoro yao kama Nchi.
Sisi na nani kama upo na JPM ni wewe mwenyewe usiingize watanzania wote
 
Rubbish
Alikuwa mjumbe wa BMK hakupigania katiba mpya, alipotoswa ndiyo akumbuke katiba mpya, zote ni harakati za kuchumia tumbo, dhambi ya usaliti na kaka yake itawatafuna kwa kufuja mabilioni ya watanzania
Dunia ni duara hata Polepole alikuwa mjumbe wa BMK.
 
Kuna uwezekano mmoja wao asifike 2020
 
lowasa wenu huyo sasa sijui kina musukuma na Lumumba buku saba mtasemaje? gia angani au?
 
Kasema jumatatu atakwenda kuchukua fomu, ngoja tuone demokrasia ndani ya CCM.
 
Iwapo Membe ataamua kugombea urais ndani ya chama chake namshauri atumie hoja ya kuandika katiba mpya au kurejesha mchakato wa katiba ya Warioba au iliyopendekezwa.

Hoja ya katiba mpya bado inavuta hisia za wananchi wengi, leo niliona jinsi rais alivyopata kigugumizi cha ghafula alipotaka kuzungumzia suala la KATIBA, hii inaleta picha kwamba hata rais anataka mchakato uendelee ila kwa sababu anazozijua yeye anashindwa kusema hadharani kwa sababu alishawahi kusema katiba siyo kipaumbele chake.

Nakuhakikishia siku akitangaza vipaumbele vyake na kuahidi kurudisha mchakato wa katiba mpya hakika atapata uungwaji mkono mkubwa kutoka ndani ya chama chake, wapinzani wenyewe, baadhi ya viongozi na wabunge wa CCM.
20200621_081451.jpg
 
Back
Top Bottom