Nafikiri hapa sio swala la demokrasia bali itakuwa mh. Membe na uwanachama wake umekaaje?Kasema jumatatu atakwenda kuchukua fomu, ngoja tuone demokrasia ndani ya CCM.