thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,116
- Thread starter
-
- #21
Exactly!Umemaliza kila Kitu Mkuu na namuonea mno huruma kwani yajayo hayatokuwa yakufurahisha Kwake. Hicho Kipengele chako #4 ndiyo nimekipenda zaidi. Sijajua Membe amejiamini nini wakati Yeye ni Mtu wa ' System ' tena wa ' Senior Level ' kabisa leo hii anakuja kutaka Kutunishiana Misuli na wenye ' System ' hii mpya huku akijua fika ya kwamba ' almost 65% ' ya yale aliyokuwa akiyajua ya ' System ' sasa yamebadilika na hakuna ambacho anakijua sana sana ataishia tu kupewa ' Umbea ' mdogo mdogo na ambao hautokuwa na Tija / Mantiki yoyote Kwake. Amefanya Jaribio baya sana na ambalo asipoangalia litakuja Kumgharimu mno Siku si nyingi.
Hili ni neno la kiingilishi au?stupidi
Kalilia wembe mwenyewe kwa uvivu wa kufikiri
Mjazeni kama mlivyomjaza Nape
Akimaliza muda wake malizeni nae kama mtawezaKama Maembe alikuwa mchafu hivyo na hakuna hatua yoyote amewahi kuchukuliwa, bali sasa ndio mnaanza kujifanya mtamchukulia hatua baada ya kuonyesha anataka kushindana na Magufuli huoni hapa hata Magufuli sio msafi kwani anatumia madaraka yake kuchafua wengine na wala hana uzalendo wowote? Katika mazingira hayo usafi wa Magufuli unatoka wapi iwapo anakalia kimya watu wachafu ili miradi wasiingilie madaraka yake? Hii inatupa picha kwamba hata Magufuli ana kundi lake analolitumia kuibia nchi sasa kwani hakuna wa kumhoji kama ilivyokuwa kwa akina Membe enzi za JK.
Hata ingekua wewe,mtu akiingia kwenye 18 zako utaremba?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Na Wembe wa Awamu hii una Makali kuliko hata ya ' Chatu ' mwenye njaa ya Kitoweo.
Uko upande wa Membe au chadomo?,niweke wazi
Akimaliza muda wake malizeni nae kama mtaweza
ningependa kuhakikishiwa sehemu aliyokiri kwamba atagombea uraisi ? ...........bado nasubiri...........................
kuna pressure inayokuwa kwa kasi sana
Kwani umeshaona alipokanusha kwamba hatagombea? Huwajui wanasiasa weweningependa kuhakikishiwa sehemu aliyokiri kwamba atagombea uraisi ? ...........bado nasubiri...........................
kuna pressure inayokuwa kwa kasi sana
Je, wana nguvu zaidi ya jiwe au ushawishi zaidi jiwe?Kundi la wapigaji linamtia ujinga ili wapate chochote kitu.
Watu wanapenda kuwa campain managers mkuu
je wananguvu zaidi ya jiwe au ushawishi zaidi jiwe?
nadhani umesahau pia huu ni wakati wa jiwe... anakwambia not to that extent....hivi huoni ccm ilivyotulizwa hamna mtu ambaye yupo against mr jiwe ...Kwani umeshaona alipokanusha kwamba hatagombea? Huwajui wanasiasa wewe
Hapa naona una polish tu viatu dawaMembe kapiga kiberiti kichaka panya wote mmekurupuka ! kwa Taarifa yako Membe ndio aliyempa kazi ya kitengo Kapilimba , kapilimba aliingizwa tume na Kikwete ili kudivert kura 2015 , baadaye jiwe akapewa jina ampaishe kuwa DG , hii ni timu 1
sitaendelea kukujulisha usiyoyajua kwa sasa ila nitarudi baadaye ukipenda nifanye hivyo , kwa jiwe kumwangusha Membe kunahitaji ushawishi kwa wajumbe ( ambao ameisha upoteza ) , lakini si kwa njama duni za MATAGA mbumbumbu , jipangeni upya wenzenu wako kazini miaka 4 sasa
usije kusema hatukuambia , Chaos !