Membe: Hutosikia tena Mtu ametekwa au kaokotwa kwenye kiroba

Akihojiwa na Waandishi wa Habari ili atoe maoni yake kuhusu anavyoiona awamu ya 6 , Mh Bernard Membe , amezungumza machache lakini kimsingi amesisitiza kwamba katika utawala huu hutosikia Mtu ametekwa wala kuokotwa kwenye Kiroba.

Toa Maoni yako.
Membe kathibitisha kuwa waliotekwa/waliouliwa na kutiwa kwenye viroba ilikuwa ni Kazi ya serikali ya 5?
 
Magufuli alikua shetani kuu, hakua na uzalendo wowote aliua watanzania wasio kua na hatia wengi bila kuhojiwa chochote, na huku anajifanya mu ukristo safi, eti niombeeni
Sawa si ndo kafa au?? Kwanini mnatumia nguvu zenu za kiume kupambana na Marehemu??? These Tanzanian typical politicians are more than embiciles. Badala ya kupambana kuchukua dola wanapambana maiti.

Usiku utakapokwisha!!
 
Watekaji na wauaji walikuwa hao hao akina Membe na genge lake ili kuichafua serikali.

Hata Lisu alipigwa risasi na akina mbowe ili kuchafua serikali lakini matokeo yake tukanunua ndege nyingi kabisa na kuingia uchumi wa kati
Sasa mbona mwendazake hakuwakamata?
 
Angalia picha za matukio yake wakati wa kuzikwa. Alafu jipige vibao viwili usoni sema mm ni mjinga mkuu ambae naendeshwa na siasa za majitaka.
Picha za kuzimia na mifuko ya sangara mkononi ?

Katika_Historia%3A%0APamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak...jpg
 
Mkuu unaposema enzi za Magu ina maana kina kikwete watu walikuwa hawaumizwi? Enzi za kina mkapa na nyerere watu walikuwa hawaumizwi?

Enzi za kikwete watu wanepigwa sana.

Je, Dr. Ulimboka alikuwa enzi za Magu?
Yule mwenyekiti wa chama cha walimu aliyekimbilia sauz ilikuwa kipindi cha Magu?
Walioumizwa wakati wa kikwete walijaa viroba vingapi ?
 
Jiwe Bado Yuko Sana ktk miyoo ya watazaznia wanyonge hata sas jiwe anaukmbukwa sna na watu wengi pmj na matukio yake ya kuuwa watu ovyo Bado anapendwa snaa
 
Ila matukio ya kutekwa au aina ya uhalifu huo upo toka zamani na ndio tuliona kutekwa kwa Ulimboka na kuteswa hadi kutekwa kwa Mo n.k, sasa Membe anapata wapi ujasiri wa kuahidi kuwa uhalifu huo hutotokea tena na ukizingatia juzi juzi tu tukio la mtu kutekwa lilitokea?

Halafu hao watu waliyokuwa watiwa kwenye viroba walikuwa watu wa aina gani ni watu tu wa kawaida kama hawa wamachinga au wanasiasa?
 
Kwa maoni hayo ya Komredi Menbe "kama ni yake" Basi ameongea la ndani sana kwenye moyo wake.

Juzi juzi aliekuwa CAG alinenamazito akaishiwa kutukanwa na wazee wa mserereko.
Hata Membe ajiandae kwa matusi na kejeli kutoka kwa wazee wa Mserereko.
 
Membe ndiye alikuwa godfather wa Mkuu wa makachero Kipilimba ; anajua mambo yote juu ya utekaji kwani ni kachero mbobezi!! Anachotafuta sasa ni kuwa relevant na utawala huu kupitia kwa mwizi mwenzie wa hela za Gadaffi yule Mzee wa Msoga!!!
Kwanini Kapilimba alifukuzwa na Magufuli ?
 
Back
Top Bottom