Membe, honestly hatukuelewi!

Kwa ambao hamjui kwanini Membe anatoka povu ni kwakuwa Hotel yake ya Mtwara NAF Beach Hotel imepewa notice ya kupigwa chini... Na pesa zake za wizi zote alienda kuweka hapo. U can now imagine how frustrated he is
 
Wewe mwenyewe ndiyo humuelewi usiwasemee na wengine.

Soma kitabu cha Mwalimu Nyerere kinaitwa Tujisahihishe.
 
Bora ngefuta huo wa Rais na wampe huyo Shein maana ndio anaelengwa
 
Bora ngefuta huo wa Rais na wampe huyo Shein maana ndio anaelengwa
Mgogoro wa uchaguzi Zanzibar umeanza hata kabka JK hajaondoka madarakani.
Membe alimshauri nini, naye alikuwa kiongoxi mwandamizi katika wizara zinazo husiaba na muungano?
 
Ukiangalia Sana ccm inampasuko mkubwa na wasipofanya jitihada ya kuuziba tutasikia Mengi na watu kutochafuana
 
Lini mliwahi kuwa waelewa?
 
Kwa ambao hamjui kwanini Membe anatoka povu ni kwakuwa Hotel yake ya Mtwara NAF Beach Hotel imepewa notice ya kupigwa chini... Na pesa zake za wizi zote alienda kuweka hapo. U can now imagine how frustrated he is
Wangapi wanamsikiliza Mwalimu siku hizi?
Lakini aliyotabiri ukweli mtupu!
 
ila membe na lowaxa huwa nkiwatafakar nacheka sana, HAKIKA MUNGU NI MKUU SANA KWA WATU WAKE
 
kama umezoea vya kunyonga vya kuchinja hutoviweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…