Jamaa ni jembe sana.......
Anafaa kua rais ajaye.
Wenje kauliza toka lini Rais Kikwete akawa msemaji wa FDLR, tunasubiri jibu kwa Membe.
Jamaa ni jembe sana.......
Anafaa kua rais ajaye.
this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo LIVE
Hivi kutangaza kutoomba radhi ndio ugangwe au ndo ushujaa?
this is coming from wenje???? one of those classless politicians waliojazana CDM anaongea upuuzi wowote kisa bunge lipo LIVE
Ni kukosa ustaarabu mkuuHivi kutangaza kutoomba radhi ndio ugangwe au ndo ushujaa?