johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,965
- 141,968
Kama Membe ambaye hakufanya kampeni na mwishoe alijitoa kwenye uchaguzi ameshika nafasi ya 3 ina maana angefanya kampeni angekuwa namba 2 akimzidi Tundu Lissu wa CHADEMA.
Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa.
Membe ni wa hapa hapa hana ukaazi kwingineko.
Maendeleo hayana vyama!
Napendekeza uchaguzi wa 2025 CHADEMA waende na Membe wanaweza kuambulia hata wabunge kadhaa wa kuchaguliwa.
Membe ni wa hapa hapa hana ukaazi kwingineko.
Maendeleo hayana vyama!