Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,074
MUSUBA wakati anamtukana Membe alikuwa DINI GANI ni UJINGA NA UPUMBAVU kumwombea msamaha musiba ikiwa wakati anamtukana Membe mlikuwa kimyaHuyo Membe ni wa dini gani?
MUSUBA wakati anamtukana Membe alikuwa DINI GANI ni UJINGA NA UPUMBAVU kumwombea msamaha musiba ikiwa wakati anamtukana Membe mlikuwa kimyaHuyo Membe ni wa dini gani?
Natamani hiyo hukumu ingetekelezwa leo hiiPlay stupid games win stupid prizes. Hii inafundishwa darasa la pili
Hao maaskofu ni wanafiki wakubwaMUSUBA wakati anamtukana Membe alikuwa DINI GANI ni UJINGA NA UPUMBAVU kumwombea msamaha musiba ikiwa wakati anamtukana Membe mlikuwa kimya
Hata Mdude Chadema aliombewa msamahaMUSUBA wakati anamtukana Membe alikuwa DINI GANI ni UJINGA NA UPUMBAVU kumwombea msamaha musiba ikiwa wakati anamtukana Membe mlikuwa kimya
Musiba nguvu za matusi yale alizipata wapi,most likely ni kutoka TISS ya Hayati Magufuli.Bahati yake mbaya Musiba ni kwamba hii ni TISS ya Samia.Kwa hiyo bad luck for him,sidhani kama itakuwa na msaada kwake.Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya shilingi 9.2 Bilioni, Bwana Musiba amewaangukia viongozi wa dini Askofu Alex Malasusa (KKKT Diyosisi ya Pwani) na Kardinali Porlycarp Pengo kumwombea msamaha kwa Membe asipige mnada mali zake.
Taarifa kutoka ndani ya familia ya Membe nyumbani kwake Mikocheni zinaeleza kwamba Jumatatu ya tarehe 24/4/2023 majira ya saa 10 alasiri mjumbe kutoka kwa Pengo alifika kwa Membe kumpa ujumbe wa Pengo kumsihi amsamehe Musiba.
"Alikuja hapa padre wa moja ya makanisa yetu kuleta ujumbe huo lakini naona Mzee alimkatalia na kumwambia 'namheshimu sana baba Askofu Pengo lakini kwenye hili anisamehe yeye (Pengo) huyu kijana lazima alipe gharama ya matusi yake' " anasema mwanafamilia aliyetajwa kwa jina la Colleta na kuongeza:
"Lakini jioni yake ya saa moja Askofu Malasusa naye alimpigia simu Mzee kuongelea suala hilo hilo lakini naye Mzee alimpa majibu yale yale aliyompa mjumbe wa Pengo." Hata hivyo kwa maelezo ya Colleta ni kwamba si tu ni msimamo wa Mwanadiplomasia huyo Bali ni msimamo pia wa familia.
Hii inakuja baada ya jitihada za Askofu Mwamakula pia kugonga mwamba baada ya kumwandikia barua Membe ya msamaha kwa Musiba.
Wakati hayo yakijiri hapa Mikocheni, tayari kampuni ya Yono imeshatua jijini Dodoma itakapoanzia kazi ya mnada kwa kuanza na apartments za Musiba zilizoko Ihumwa, nyumba yake ya Chamwino, guest house yake ya Msalato na shamba la hekari 10 njia ya Singida.
Baada ya hapo Yono atatimba apartment ya Kigamboni, shamba la hekari 5 Bagamoyo kabla ya kugeukia mitambo yake ya uchapaji iliyoko jengo la Exim ghorofa ya 8 jirani na Makao Makuu ya Polisi jijini Dar es salaam.
Ikumbukwe kwamba huko nyuma Musiba alichapa magazeti yake kampuni ya Malindi Printing huko Mbweni ambayo ni mali ya TISS. Jambo hili lilileta ukakasi wa kisheria kwani sheria ya vyombo vya habari (2016) inamtaka mlalamikaji kumshitaki Mwandishi, mhariri, mchapaji na msambazaji. Kwa mantiki hiyo DG wa TISS angetakiwa kusimama kortini. Ili kuokoa jahazi Musiba "alinunuliwa" mitambo mingine Mpya kutoka Ujerumani na kwa "huruma" mwana TISS Membe aliridhia. Nayo itanadiwa baada ya siku 14 kutamatika pamoja na nyumba na mashamba yake ya kijijini nakadhalika.
My take: Vijana tujifunze kitu katika sakata hili la Musiba na Membe kwamba tuwe na akiba ya maneno. Lakini pia akili ya kupewa changanya na zako. Waliokuwa wakimpa akili karibia wote wamemkimbia tena ndio wamekuwa jirani na Membe. Amtegemeae mwanadamu mwisho huwa kama hivi. Musiba kwishney!
Mkuu,Musiba hakuwa na kosa maana alichokuwa anakisema walikitenda ila kwa kuwa ndio wenye nchi hawataki kudhalilishwa hadharani kwamba walikengeuka. Akiendelea kulipiza kisasi juu ya Musiba Mungu naye atalipiza kisasi kwa kuwa baya halilipwi kwa ubaya ili umfundishe aliyekunda ubaya ajifunze kuwa na kiasi.
1. Musiba alimtenda vibaya mlalamikaji
2. Musiba aliwatendea wema Watanzania wengi kwa kuweka wazi uovu wa viongozi wa kisiasi wanapopewa dhamana ya kuwatumikia wanajinufaisha wenyewe
Enzi za Jiwe alikuwa analindwa na Body Guard. Maisha yanaenda kasi sana aisee!Duuh kumbe Musiba alikuwa mtu mzito sana aisee
Naam. Nami nimewashtukia viongozi wa dini waliotumwa na Musiba kuwa ni wale wale waliotumika kipindi kile cha giza kumtukukuza mfalme na kuutakasa utawala wake wa giza! Bahati nzuri kachero anawafahamu fika.Membe itakua kafulia anataka hela hakuna kingine hapo nimemshtukia.
Yule ibilisi mwenye roho mbaya kuliko shetanj mwenyewe alimzuilia kuwa Katibu Mkuu wa Jumuia ya Madola kama alivyowazuilia marehemu Likwelile na Mulamula kufanya kazi Umoja wa Afrika! Badala yake akamtuma Musiba kumchafua. Achukue tu hizo mali; kwanza Musiba alifanya biashara gani kustahili kuwa na hizo mali? Hizo ni mali za nchi zilizoporwa kipindi kile cha giza kuwazawadia vichaa waliomtukuza na kumpigania mwenzao!Alifukarishwa kwa makusudi. Alipwe pesa zake kama wanavyolipwa wengine.
Musiba amewacagua hao kwa kujua jinsi walivyokuwa pamoja kuupigania utawala wa giza. Kwa macho ya kibidamu bora hata Membe kuliko hawa kwani aliweza kujitenga na ubatili wa awamu ya tano; hawa waliwatelekeza kondoo na kusimama na shetani! Sijui hata wanapata wapi ujasiri wa kuwasiliana na Membe!Hawa si Mungu, ni binadamu tu kama wengine......wasikataliwe wana nini cha kumzidi Membe?
Siyo kweli kwamba Membe sasa amepata nafasi na kwamba walioko madarakani ni wezake! Ukweli ni kwamba vyombo vya nchi sasa angalau vimeanza kutekeleza wajibu wao. Kabla ya hapo vyombo vyote vilikuwa butu vikitumikia maslahi ya kisiasa ya mtu mmoja na genge lake la mashetani. Kesi kama hii ya Membe ingefutwa haraka kwa amri kutoka juu au angepangiwa wale majaji wa voda fasta wanaotoa hukumu bila kunukuu vifungu vya sheria.Yeye alidharau kumbe mwenzie yuko serious na anachokifanya. Sema una appeal vipi na records zipo. Utayakataaje maneno uliyoyasema au kuyaandika?
Kingine Membe ni mtu wa kuvimba na amepata chance ya kujivimbisha sababu utawala wa kwao huu. Alijitunisha kwa JPM ila hakufua dafu sababu system haikuwa upande wake. Karata zote ziko kwake sahizi alitingishwa sana ila nae amepata chance ya kumtingisha boya sasa
Musiba kwisha habari yake. Tulimuonya hakusikiaMembe ni failure anayetapatapa.
Aliwahadaa ACT wazalendo kwamba ataingia dakika ya 89 na kufunga goli alafu akaishia kufanya kampeni za urais kwenye kijiji cha Rondo
Consequences
Ukimeona mtu anamtetea Musiba jua kuwa alikuwa kwenye payrall ya Musiba, vinginenvyo huyo mtu ana matatizo makubwaMkuu umepotea njia, huko unakokwenda siko, Mahakama ndiyo iliyotoa amri Membe anatekeleza tatizo liko wapi.
Kwa mwenye akili kweli huyu Musiba alikuwa anapata wapi nguvu na ujasiri wa yote alikuwa anayasema bila kupepesa macho? Na Nani alikuwa Nyuma yake? Leo hii yu wapi??Hakuna huruma hapa