Tetesi: Membe awakatalia Kardinali Pengo na Askofu Malasusa kumsamehe Musiba

Kwa nini haku appeal mpaka case ifike mahama za EAC, yaani yeye angeenda na mwendo wa ku apeal tu!
Sidhani kama hii case ilifika kwenye Mahakama ya Rufaa!
Well I’m just curious
Kwani hata huko mahakamani alienda huyu kujitetea?
Maana kabla sponsa hajafa alisema kwa kutamba kwamba ndani yaTanzania hii hakuna Mahakama ya kusikiliza upuuzi wake Membe.
 
Hawa viongozi wa dini walikuwa wapi wakati huyo mtu wao akitukana na kukashfu watu.

Ina maana wao wamezoea dhambi siyo?
 
Hapo Hakuhitaji Dini Ila Sheria Inasemaje, Uchawa Mwisho Wake Mbaya
Mkuu umenikumbusha, kuna chawa (mzungu)mmoja kule Uganda, enzi za Idd Amin Dadah alikuwa noma sana, yaani akikuchongea kwa Iddi Amin tu arobaini za kimefika. Lakini baada ya Nduli kutimuliwa na yeye hali yake ilikuwa mbaya sana maana mali zake zote ziliporwa maana zilikuwa ndani ya Uganda akabaki maskini wa kutupwa.
 
Mhu 17:5
BWANA asema hivi,
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu,
Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake
Na moyoni mwake amemwacha BWANA
 
Kama alitegemea kutoboa kupitia hiyo njia Naona atakwama tu huyo musiba hana kitu.

Kufulia uzeeni kubaya sana kunamfanya mtu afanye mambo ya kumshushia hadhi kabisa.

Sasa kweli waziri wa mambo ya nje mstaafu ni mtu wa kungangania kuuza mali za Musiba??

Anajiabisha kuliko hata vile anavyodai kuaibishwa na musiba.
Sio yeye ni Mahakama ineamua.
 
Back
Top Bottom