Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

Hii ngoma mbona siielewi huku anaisema serikali ya Magufuli ,Zanzibar anawaponda wana ccm wenzake ,kwa maoni yangu umeuvaa utaifa jambo ambalo sio sehemu ya wana ccm au ukawa ,tulihitaji wawepo watu wa kusema ukweli na wewe umeonyesha njia ,angesema Lowasa watu wangetokwa na mapovu kwa sababu ni upinzani
Sikubaliani na Membe kwa mambo mengi ila hili la Zanzibar naomba nikupongeze
 
Hoja ya MH Membe kwa sasa inakosa uhalali wa kuwa halali. BM angekuwa na ni a njema ushauri huo angeutoa mapema kabla ya Tume. Hapa ninachokiona BM anaugomvi na MH JPM
 
Safi sana Magu, ungemteua tu tungekosa MWANASISIEM WA KUTUMBUA HAYA MAJIPOU YENYE UCHUNGU HIVI
ukweli mtupu Membe
 
Mbona yeye ali support uhalifu unaofanywa na Nkurunzinza? Au anadhani hatufahamu? Nadhani hii ni mikakati ya kurudi kwenye ramani ya siasa TZ, maana alishapotea
Hivi wewe mbona hutumii akili?membe ni mwana ccm wa kuheshimika,yaani akitokea mtu kuikosoa ccm basi huyo ni adui yako?
 
Mbona yeye ali support uhalifu unaofanywa na Nkurunzinza? Au anadhani hatufahamu? Nadhani hii ni mikakati ya kurudi kwenye ramani ya siasa TZ, maana alishapotea
Hivi kwanini mtu akisema ukweli anaonekana mbaya ndani ya CCM?
Kijana wa Lumumba povu limekutoka sio mchezo.
Hata hivyo nakubaliana na wewe jambo 1,Membe ni attention seeker.
 
Hawa wanasiasa wengine mimi huwa wananichekesha, alikuwa wapi kusema hayo kabla tarehe haijatangazwa?

Kwangu mimi anatafuta kiki tu akunbukwe yupo.

Kukosa vyeo vya mazoea sio mchezo.
 
Hawa wanasiasa wengine mimi huwa wananichekesha, alikuwa wapi kusema hayo kabla tarehe haijatangazwa?

Kwangu mimi anatafuta kiki tu akunbukwe yupo.

Kukosa vyeo vya mazoea sio mchezo.
Sio kiki ila penye ukwel panasemwa
 
Mimi naona hizi moves za Membe lately ziko calculated. Ana rise maswali ambayo yatajadiliwa sana kwa ngazi zote nchini na baadaye CCM watayatolea ufafanuzi kwa ufasaha sana na maslahi yanayolengwa yatakuwa yamelindwa.
 
Wakati mwingine ni vema kuweka itikadi za vyama pembeni pale linapokuwa linazungumzwa suala la utaifa, hakika Mh Membe ameliona hili.
Hongera Mheshimiwa Membe kwa busara zako.
 
Angetoa basi ushauri wake tangu uchaguzi ulipotangazwa kuwa utarudiwa.
Huenda alijua muafaka ungepatikana eidha wa kutangaza matokeo ya uchaguzi uliofanyika mwaka jana, but cc wote hatujui kwann alinyamanza mda wote, tusubiri mda ukifika
 
Home boy nae sasa anataka kuniangusha nilisha mkataza kutokea kwenye Media.

Kila Kitu KINAJULIKANA Kuwa Anatumika Kwa MASLAHI Ya Mr. NIMESTAAFU Majuzi Tu Ili Kumdhoofisha Kabla Ya Msubi Kukabidhiwa Chama Rasmi. Mr. NIMESTAAFU Majuzi Tu Ana Hasira Na Chuki Ya Moyoni Hasa Baada Ya Mwanamume Wa KISUBI Kuipangua MIRADI Na MIRIJA Yake Mingi Na Ndiyo Maana Kama Upo Makini Mr. NIMESTAAFU Majuzi Tu Kila Kukicha ANAKONDA. Mbinu Inayotumika Ni Yeye Kujifanya Yupo KIMYA Kwa MSUBI Lakini Ramani Nzima Ya Vita Kamwachia Chinga Boy AMALIZE Huku Kampuni Hiyo Ya Tabata Relini Ikiingizwa Ktk Mpango MAALUM Kwa MASLAHI Ya Yule GABACHORI Mnafiki Ambaye CCM Yupo Na UKAWA Alikuwepo ( Lakini Hapo Hapo Mr. NIMESTAAFU Majuzi Tu Amesahau Kuwa MSUBI Ni MAFIA VILE VILE TENA ALIYETUKUKA Ambaye Anaweza Kukuingiza Choo Cha Kike Bila Kujua ). Ila Chinga Boy AMESAHAU Kuwa Ofisi Uliyokuwepo Ukitoka Tu Mambo Nayo HUBADILISHWA Mara Moja ( Especially IDARA NYETI ) Hivyo System Ya Sasa HAIJUI Na HATOKUJA KUIJUA Na Sana Sana Ni Vyema Tu ANGEKAA Kimya Na Mama Dorcas Wake Wale Pesa Za Mwanamume Wa Libya Huku WAKITUBU DHAMBI Ya WALIBYA Kufiwa Na Balozi Wao Hapa Tanzania Mwaka Jana. Kwa Mchana Huu Naomba Niishie Hapa Tu Japo Hatoacha Kukumbukwa Kuwa Na Yeye Alishawahi Kuwa Mmoja Wa MAAFISA WANAFIKI WALIOWAHI KUTOKEA Pale " Eagle Wing House " Oysterbay.
 
Mbona mafumbo mengi kuwa wazi bhana
 
Jethro explained to Moses, that it was important to learn to delegate authority and responsibility;

He must focus on giving clear direction, and setting the values;

He told him how to select the right type of leaders; they must be competent, incorruptible, above reproach

The people he chooses should themselves, be able to delegate responsibility to others;

After he has delegated he must allow his people to get on with it, and just focus on the key strategic issues.
 
Back
Top Bottom