Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

Membe apinga kufutwa uchaguzi wote Zanzibar

Membe is the best politician of all time ni vile tu alikua kawekewa funguo na mkware.alikua hawezi kutoa maoni yake.Sasa ndo.mtamjua huyu ni mtu wa aina gani..he is the best am telling you!
 
Huyu Membe hafahamu kama Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake, Rais wake, Bunge lake, mahakama zake na Jeshi lake!

Inawezekana hafahamu kama Zanzibar wana katiba yao!

Hafahamu kama wazanzibari wenyewe wakiongozwa na jopo la Marais wastaafu wa nchi ya Zanzibar wanaendelea na vikao!

Kwa hiyo anataka kutuambia kama yangefutwa baadhi ya majimbo asingeshangaa!

Hafahamu kama Maalim Seif alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2010? Hakumsikia Mzee Hassan Nassor Moyo?

Ni nini kinamfanya ashangae kwa sasa kufutwa kwa matokeo yote?

Membe nadhani anasumbuliwa na weweseko la maisha nje ya siasa wakati umri bado unaruhusu. Tatizo aliaminishwa sana kama atakuwa mgombea Urais mpaka akaamua kuliachia Jimbo la Mtama.

Rais Magufuli ameamua kutomteua kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje. He's already casted aside and now, he's bitter!

Maelezo zaidi yako hapa;

na hapa,
Mwenyekiti wa taifa Ccm pia hahusiki zanzibar au ni rais tu?
 
Tatizo lako ni U-CCM umekujaa ndugu yangu sana maana mpaka kwenye Mkaa unaita nyeupe.
hii ni hatari sana usipobadilika.
Kwa mtazamo wangu Membe yuko sahihi, kufauta uchaguzi wote na mtu ambaye hana mamlaka kikatiba na kisheria Dunia inatuona watu wa ajabua sana na Machafuko yoyote yakitoke CCM lazima iwajibiki kwa njia yeyote ile.
Pili mwaka 2010 waliiba ila haikuwa wazi kama hii.
 
Namfahamu ni kidato cha NNE failure na baadae akasoma DSA (TIA sasa hivi) tawi la Singida masomo ya Jioni ya utunzaji stoo. Tuache hayo ya darasani, lakini umewahi kumsikia akichangia hoja Bungeni? Utajua kuwa kuwepo kwake bungeni kwa vipindi viwili hakujamsaidia kumjenga chochote akilini.
Kifupi in kuwa hajui hata pale yupo kwa sababu zipi
Naikumbuka ile hoja ya Sugu aliyoivalia njuga akaishia kudhalilishwa vibaya na wanaomfahamu maisha yake yankila siku. Kwa kuwa yeye ni msanii wa kuimba hoja zake nyingi huhusu wasanii. Leo unampa kazi kama ile. Shame to Ndugai.
 
Mtandao wa tigo na ubora wake.
Naombeni mnisaidie. Kuna wakati huwa naamini kwamba mgema akisifiwa sana ni shida na bora niwe mkweli kuwa mtandao wa tigo ni tatizo kwa kuharibu uchumi wa watumiaji.

1. Umekuwa ni mtandao ambao kero zake hazisoviki karibia mwezi sasa hasa mkoani tuliko wengine.

2. Wengi wetu siku hizi tunatumia mitandao kama non financial institution out of bank lakini tigo kwa sasa najuta kuifahamu na pia napata mashaka na market strategy yao ikoje kama hadi sasa wapo kimya wakati mtandao wao unafeli kila siku.

Nakosa imani kwa kiasi flani na huu mtandao au ndo kufilisika baada ya kuwepo kwa matajili wengine kama alotel?

Umepotea N'jomba...
Hapa siko
 
Toka jana siamini mambo yanayo andikwa kuhusu membe kama kweli yametamkwa na Membe!
Watu wanatakiwa kujiuliza kama kweli haya yanasemwa na Membe .muda wote alikuwa wapi?
Alikuwa wapi? unampangia muda leo ndiyo ameanza.
 
Tatizo mtu akiikosa nafasi aliyoitaka anakua na kujitafatia pakusemea
Membe kwanza angutuambia wale watu 11 amaboa alisema wanaisumbua nchi kwa ufisadi ni akina nani?
 
Naona ameamua kujilipua baada ya kuona kuwa hakuna dalili za kupata cheo. Alitegemea pengine angeteuliwa kuwa mbunge then apate wizara. Kaona kimya. Sasa ameamua liwalo na liwe. Kweli CCM hawakukosea kumkata
Fikra zenu za ajabu sana tena sana mmelogwa na ccm au ni nini?
kwa hiyo uongo kwenu ni dini?
Mtu anayesema ukweli mnapindisha ukweli
 
Naona ameamua kujilipua baada ya kuona kuwa hakuna dalili za kupata cheo. Alitegemea pengine angeteuliwa kuwa mbunge then apate wizara. Kaona kimya. Sasa ameamua liwalo na liwe. Kweli CCM hawakukosea kumkata
Leo Membe amekuwa mbaya wakati wewe ulikuwa mtetezi wake mkuu.

Membe kasema ukweli, kwanza kamwambia Magufuli hawezi kuendesha nchi kwa kujifungia ikulu lazima atasafiri tu. Pili kamwambia Jecha kuwa huwezi kufuta uchaguzi wote kwa makosa ya vituo viwili.

Tatizo lenu CCM mkiambiwa ukweli mnakimbilia kuwa-label wenzenu wapinzani.

Nikwambie na ujue, kati ya watu wanaomsaidia Magufuli na yeye anajua, ni wale wanaomkosoa tofauti na nyie mnaomsifia kwa kila anachofanya.
 
Huyu Membe hafahamu kama Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake, Rais wake, Bunge lake, mahakama zake na Jeshi lake!

Inawezekana hafahamu kama Zanzibar wana katiba yao!

Hafahamu kama wazanzibari wenyewe wakiongozwa na jopo la Marais wastaafu wa nchi ya Zanzibar wanaendelea na vikao!

Kwa hiyo anataka kutuambia kama yangefutwa baadhi ya majimbo asingeshangaa!

Hafahamu kama Maalim Seif alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2010? Hakumsikia Mzee Hassan Nassor Moyo?

Ni nini kinamfanya ashangae kwa sasa kufutwa kwa matokeo yote?

Membe nadhani anasumbuliwa na weweseko la maisha nje ya siasa wakati umri bado unaruhusu. Tatizo aliaminishwa sana kama atakuwa mgombea Urais mpaka akaamua kuliachia Jimbo la Mtama.

Rais Magufuli ameamua kutomteua kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje. He's already casted aside and now, he's bitter!

Maelezo zaidi yako hapa;

na hapa,
lakini hajasahau kuwa uwepo wa ccm zanzibar inategemea uwepo wa majeshi kutoka tg.
 
Aliyekuwa waziri wa mambo ya nje amepinga uamuzi wa kufutwa matokeo yote Zanzibar na kusema dunia inashangaa na kuitaka CCM na serikali isiwaachie watu wawili tu kutafuta njia za kutatua mgogoro huo.

Membe anakuwa mwanasiasa wa kwanza mwandamizi kutoka chama tawala kuonesha waziwazi kutoridhishwa na uamuzi wa kufutwa kwa uchaguzi huo wa Rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani ambao ulifanyika sambamba na uchaguzi wa Rais wa jamhuri wa Tanzania, wabunge na madiwani wa bara na visiwani.

Kinachoshangaza dunia si kuahirisha uchaguzi bali kufuta matokeo ya majimbo yote, alisema mwanadiplomasia huyo.

Magazeti 23 January

Wakiwa madarakani hawaoni makosa, wakitoka wakionja machungu wananchi wanayopata ndio wanaanza kuongea ukweli, kwanini hakuishauri ccm ili kuwa na tume huru ya uchaguzi? kwanini hakuishauri ccm kuondo sheria kandamizi zilizoanishwa na tume ya Jaji Nyalali? ccm ni wabinafsi na wanaona raha sana wakiwa madarakani,kuiba na kuona kama wamepanda ngazi na hawatashuka, Ni wakati wa wale wote walioko ccm na walioko serekalini kuhakikisha wanaweka mazingira rafiki na sheria za kutoa haki kwa kila mtu ili wakiondoka madarakani zisitumike kuwakandamiza na kuwahujumu. Angalia Lowasa na wengine walikua na nafasi nzuri wakiwa madarakani kutengeneza sheri na taasisi zinazotoa haki hawakufanya, shuhudia wanavyofanyiwa na serekali hata kuwashukuru waliowapigia kura hawaruhusiwi!
Angalia Karume sasa anazomewa na ccm pamoja na baba yake kufa wakati anawaongoza wazanzibar, na yeye kuwa raisi kwa miaka kumi, kinachoonekana ni familia kugawanyika kwa wanaotaka haki na wanaotaka maslahi yao wenyewe haya ndio matokeo ya kutumia madaraka vibaya, alikua na nafasi ya kurekebisha sheria na kujenga taasisi zilizo na nguvu ambazo zinatoa haki, lakini wakaweka ukada na si ueledi wa mtu anaonja machungu aliyoyasababisha yeye mwenyewe!!!!
Onyo kwa viongozi mlioko ccm na madarakani tengenezeni sheria na taasisi imara ili zitoe haki sawa kwa wote, kwani mko hapo kwa muda tu, sheria mbovu na taasisi mbovu zinazoongozwa kwa uchama zitawarudi mkitoka madarakani, tengenezeni sasa
 
Tatizo lako ni U-CCM umekujaa ndugu yangu sana maana mpaka kwenye Mkaa unaita nyeupe.
hii ni hatari sana usipobadilika.
Kwa mtazamo wangu Membe yuko sahihi, kufauta uchaguzi wote na mtu ambaye hana mamlaka kikatiba na kisheria Dunia inatuona watu wa ajabua sana na Machafuko yoyote yakitoke CCM lazima iwajibiki kwa njia yeyote ile.
Pili mwaka 2010 waliiba ila haikuwa wazi kama hii.
Kama mimi U-CCM umenijaa, wewe ndugu yangu umejaa U-nini?

Kitu gani kinakufanya udhani kwa sasa ndiyo dunia inatuona wa ajabu? Umejuaje kama dunia haikutuona wa ajabu kipindi cha nyuma?

Kwa hiyo walivyoiba kura mwaka 2010 kama unavyodai, dunia haikutuona wa ajabu?

Nimeuliza, huu ukweli anaosema Membe kwa nini ameanza kuusema baada ya mambo yake ya kisiasa kugonga mwamba.
 
Ndio maana uwa tunawaita Nyumbu hao jamaa. Wapo tayari kusifia ujinga ili tu wakubalike kwenye jamii ya wajinga wenzao. Hawataki kuwa challenged...Wanaogopa kupondwa kwa kusimamia ukweli. They are simply cowards.

Nafikiri hata kisa cha wao kulitetea fisadi ambalo wao wenyewe walikuwa wakimshambulia wakati yupo CCM ni hicho hicho, kwamba wakisema ukweli watapondwa, hivyo wanaogopa.
Coward ni wewe ambaye haujijui kabisa unachosema.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa kama wewe kazi kujipendekeza kwa ccm.
Hauwezi hata kuikosoa ccm
 
Kwa hili Membe yuko sahihi, sio kila kitu mabavu, kupinga hata kitu kinaonekana pasipo darubuni, tusipende vyama sana kuliko maslahi ya nchi, hata nyerere alisema ccm sio mama yake, sasa wengine tunakataa kila kitu kiasi kwamba sisi ndo waanzilishi wa ccm, tujifunze kuheshimu maamuzi ya wengi, hii dhana ya raisi lazima awe ccm sio sahihi.
 
Zanzibar sio nchi huo ndio ukweli kama issue ni rais hata masharo wana rais
 
Back
Top Bottom