Huo ushauri wa kurudi shule nenda kawape hawa:Unazidi kujivua nguo wewe! Chagua moja, kurudi shule(nimeskia ni "elimu bure") au chukua ushauri wa Chakaza
1. Kubenea
2. Mnyika
3. Msigwa
4. Lema
5. Mbowe
6. Sugu
Huo ushauri wa kurudi shule nenda kawape hawa:Unazidi kujivua nguo wewe! Chagua moja, kurudi shule(nimeskia ni "elimu bure") au chukua ushauri wa Chakaza
Hana jipya....hasira za kupigwa chini.
Hana lolote huyo. Uchaguzi ulifutwa tokea mwezi wa kumi mwaka jana, leo ndio amegundua kuwa haikuwa sahihi? Anasema kuwaachia watu wawili watafute suluhu ya mgogoro huo haifai, kuna majadiliano yoyote yanaendelea kwa sasa ilhali Jecha ameshatangaza tarehe ya kurudia uchaguzi? Yaani Membe anatolea tamko jambo lililokaa miezi mitatu tayari, wakati kuna jipya la jana ndio alitakiwa (LABDA) kuongelea? Anapinga kufutwa uchaguzi wakati hadi tarehe ya kurudia uchaguzi imeshatangazwa? Aende zake huko!Now you are talking.....bravo...bravo.Mh.Membe
Huyu Membe hafahamu kama Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake, Rais wake, Bunge lake, mahakama zake na Jeshi lake!
Inawezekana hafahamu kama Zanzibar wana katiba yao!
Hafahamu kama wazanzibari wenyewe wakiongozwa na jopo la Marais wastaafu wa nchi ya Zanzibar wanaendelea na vikao!
...
Hafahamu kama Maalim Seif alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2010? Hakumsikia Mzee Hassan Nassor Moyo?
Ni nini kinamfanya ashangae kwa sasa kufutwa kwa matokeo
....
Rais Magufuli ameamua kutomteua kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje. He's already casted aside and now, he's bitter!
KMKM ni kama Mgambo tu na sio suala la MuunganoHuyu Membe hafahamu kama Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake, Rais wake, Bunge lake, mahakama zake na Jeshi lake!
Inawezekana hafahamu kama Zanzibar wana katiba yao!
Hafahamu kama wazanzibari wenyewe wakiongozwa na jopo la Marais wastaafu wa nchi ya Zanzibar wanaendelea na vikao!
Kwa hiyo anataka kutuambia kama yangefutwa baadhi ya majimbo asingeshangaa!
Hafahamu kama Maalim Seif alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2010? Hakumsikia Mzee Hassan Nassor Moyo?
Ni nini kinamfanya ashangae kwa sasa kufutwa kwa matokeo yote?
Membe nadhani anasumbuliwa na weweseko la maisha nje ya siasa wakati umri bado unaruhusu. Tatizo aliaminishwa sana kama atakuwa mgombea Urais mpaka akaamua kuliachia Jimbo la Mtama.
Rais Magufuli ameamua kutomteua kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje. He's already casted aside and now, he's bitter!
Maelezo zaidi yako hapa;
na hapa,
Inahitaji ujasiri wa hali ya juu kuweza kutamka hayo aliyoyatamka Membe. Nasema hivyo kwa kuwa yeye ni kada maarufu katika chama chake na tena inasemekana ni TISSMbona yeye ali support uhalifu unaofanywa na Nkurunzinza? Au anadhani hatufahamu? Nadhani hii ni mikakati ya kurudi kwenye ramani ya siasa TZ, maana alishapotea
Darasa la kutoka kwako? Labda ukawape wabunge wa ccm ambao kwa akili zao matope wanaweza kumchagua Martha Mlata kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na madini katika karne hii.Hatutachoka kuwapa darasa and they'll have to learn the hard way.
Nimekubali sikuwa ninamfahamu Job Ngugai. Lakini tangu alipompa Martha Mlata mwenye kiti wa kamati ya nishati na madini ndo nimemfahamu. Naomba mwenye CV ya Martha Mlata. Wako wanaosema ni amemaliza DRS la 7. Please naiomba.Darasa la kutoka kwako? Labda ukawape wabunge wa ccm ambao kwa akili zao matope wanaweza kumchagua Martha Mlata kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na madini katika Marne hii.
Nasisitiza wewe ni mzigo na sasa inaonyesha umeanza kutambua
Ni kweli, kwa mbaali i smell "some thing"Something big is going down aiseee, kama ni kweli ametamka hayo basi tuwe wavumilivu tuu, muda huwa hauongopi.
Naona ameamua kujilipua baada ya kuona kuwa hakuna dalili za kupata cheo. Alitegemea pengine angeteuliwa kuwa mbunge then apate wizara. Kaona kimya. Sasa ameamua liwalo na liwe. Kweli CCM hawakukosea kumkata
Huyu Membe hafahamu kama Zanzibar ni nchi yenye mipaka yake, Rais wake, Bunge lake, mahakama zake na Jeshi lake!
Inawezekana hafahamu kama Zanzibar wana katiba yao!
Hafahamu kama wazanzibari wenyewe wakiongozwa na jopo la Marais wastaafu wa nchi ya Zanzibar wanaendelea na vikao!
Kwa hiyo anataka kutuambia kama yangefutwa baadhi ya majimbo asingeshangaa!
Hafahamu kama Maalim Seif alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2010? Hakumsikia Mzee Hassan Nassor Moyo?
Ni nini kinamfanya ashangae kwa sasa kufutwa kwa matokeo yote?
Membe nadhani anasumbuliwa na weweseko la maisha nje ya siasa wakati umri bado unaruhusu. Tatizo aliaminishwa sana kama atakuwa mgombea Urais mpaka akaamua kuliachia Jimbo la Mtama.
Rais Magufuli ameamua kutomteua kuwa Mbunge na Waziri wa Mambo ya Nje. He's already casted aside and now, he's bitter!
Maelezo zaidi yako hapa;
na hapa,
Membe anajielewa na ni msema kweli. Sio wanaotetea uozo kisa chama chaoAliyekuwa waziri wa mambo ya nje amepinga uamuzi wa kufutwa matokeo yote Zanzibar na kusema dunia inashangaa na kuitaka CCM na serikali isiwaachie watu wawili tu kutafuta njia za kutatua mgogoro huo.
Membe anakuwa mwanasiasa wa kwanza mwandamizi kutoka chama tawala kuonesha waziwazi kutoridhishwa na uamuzi wa kufutwa kwa uchaguzi huo wa Rais wa Zanzibar, wawakilishi na madiwani ambao ulifanyika sambamba na uchaguzi wa Rais wa jamhuri wa Tanzania, wabunge na madiwani wa bara na visiwani.
Kinachoshangaza dunia si kuahirisha uchaguzi bali kufuta matokeo ya majimbo yote, alisema mwanadiplomasia huyo.
Magazeti 23 January
Kuhusu siasa za Tanzania unaweza pia kumsoma Mzee Pius Msekwa kwenye hii article;Duh! Maelezo haya yananiongezea huzuni kuhusu JMT.
Kwanza, tuseme msimamo wa CCM kung'ang'ania muungano wa serikali mbili huku ya Tanganyika ikipotezewa ni UNAFIKI na HUJUMA hasa kwetu tulioko upande unaoitwa "Tanzania bara"?
Pili, CCM inatawala nchi mbili tofauti?
Tatu, chaguzi za Zanzibar "zimepinda" na hazituhusu "Watanganyika" ingawa vyama vinavyohusika hasa CCM na CUF viko nchi zote mbili?
Nne, kwa jinsi mjadala unavyoenda, inaonyesha chama tawala hakijaachana na mitandao. Kuna dalili za kuwepo kwa wanachama/wafuasi walio upande wa Magufuli na walio na Membe. Na inaweza kuongezeka mingine ndani ya chama kimoja hichohicho.
Hitimisho langu ni kuwa nchi imejaa unazi na unafiki wa kutisha kwenye mambo ya msingi sana. Kwa siasa za aina hii, tusahau habari ya maendeleo!
Namfahamu ni kidato cha NNE failure na baadae akasoma DSA (TIA sasa hivi) tawi la Singida masomo ya Jioni ya utunzaji stoo. Tuache hayo ya darasani, lakini umewahi kumsikia akichangia hoja Bungeni? Utajua kuwa kuwepo kwake bungeni kwa vipindi viwili hakujamsaidia kumjenga chochote akilini.Nimekubali sikuwa ninamfahamu Job Ngugai. Lakini tangu alipompa Martha Mlata mwenye kiti wa kamati ya nishati na madini ndo nimemfahamu. Naomba mwenye CV ya Martha Mlata. Wako wanaosema ni amemaliza DRS la 7. Please naiomba.