Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,465
Ngoja NIJIRIDHISHE Kwanza Kama Hayo Maneno Kayatoa YEYE KAMA YEYE au Mwananchi WAMEANDIKA Tu KUCHOCHEA VUGUVUGU LA UHASAMA Ndani Ya CCM. Ila Kama Ni Kweli KAYASEMA Hakyanani NITAFUNGUKA HADI YASIYOJULIKANA ( Kama Noma Na Iwe Noma ). Narudia Tena WASEMENI Wote Lakini Siyo MALAIKA Wetu Na Chaguo La Mungu Rais Dr. MAGUFULI. Na Ndiyo MAANA Tunataka Kwa UDI NA UVUMBA AKABIDHIWE CHAMA UPESI ILI ATURUDISHIE CCM YETU YA HAYATI BABA WA TAIFA Mwalimu Julius Kambarage Burito Nyerere ILI ATUONDELEE AKINA " CCMUKAWA ", " CCM CHUKI, FITINI NA HARIBU " Na " CCM TETEA UFISADI KWA GHARAMA YOYOTE ILE " Ambao WAPO WENGI SANA CHAMANI.
Ni tatizo la uelewa tu, Raisi hajesema kuwa hawaezi kwenda nje ya nchi, tena nashangaa sana, safari za nje zipo ila zipo kwa mijibu wa taratibu zilizopo, hata yeye Raisi atatoka, ila kwa safari za muhimu kama kiongozi, na huu itaratibu si mpya kama watu wengi walivoelewa, kwani ulikuwepo tokea enzi za Mwl. utaratibu wa kwenda ovyo ovyo bila sababu ndo haupo. zinatakiwa safari zenye tija kwa taifa na si blabla nyingi.Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================
Ni aibu tu ya membe kuumbuliwa na safari zao zisizo kuwa na tija kwa taifa wewe hata vikao vya bodi nilikua vinafanyika nje ya nchi na raisi hajaziwia safari mbona waziri mkuu katoka makamu alienda nae nje ya membe ni ukosefu wa mamabo ya kusemaUnaweza kuwa na Bifu na RAIS wa nchi? Tena nchi unayoishi. Tuwe makini msijisahau kwamba huyo jamaa huwa hajiulizi mara mbili. Membe angetulia tu huko alipo kwa sasa. Sidhani Kama ametumia busara kutoa hayo maneno dhidi ya RAIS.
Unaweza kuwa na Bifu na RAIS wa nchi!? Tena nchi unayoishi!? Tuwe makini msijisahau kwamba huyo jamaa huwa hajiulizi mara mbili. Membe angetulia tu huko alipo kwa sasa. Sidhani Kama ametumia busara kutoa hayo maneno dhidi ya RAIS.
I
Anasema "If you isolate yourself you will be isolated (ukijitenga, utatengwa).”
Pure NOSENSE. Ni kama kwenda kushiriki kwenye vikao vya harusi kutoa pledge za michango usiyo kuwa na uwezo nayo. Masikini anajitambua kwa nafasi yake.
"UKWELI" ni dhana tata na mtambuka. Wewe unachoona ni kweli, mtu mwingine anaweza kuona si kweli kutegemeana mnaangalia hilo jambo kutoka pembe gani. Na kinyume cha UKWELI si UONGO bali ni SI KWELI. Kinachoongoza UKWELI vs USO KWELI ni mitazamo. Kutoa maoni tofauti juu ya jambo fulani haina maana hiyo ni kutosema ukweli, bali ni mtazamo tofauti lakini upande unaotetea jambo hilo utatoka na hukumu ya kuwa ni uongo!!Tatizo linakuja hapo kwenye kuacha kila mtu aongee anachotaka ndio tutakapokuwa nchi ya wajinga Kama ulivyoiweka.
Kuna tofauti ya KUSEMA na KUSEMA UKWELI. Watu wengi huwa wanasema tuu bila hata kufanya utafiti kidogo na kujua ukweli wa Jambo husika. Mimi nafikiri kistaarabu kabisa na unyenyekevu wa hali ya juu naomba nipingane na wewe katika hoja yako. Ahsante.
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.
=====================
Majipu unayajua wewe au unayaskia...Membe ana point hapo afu jamaa ni genius sana anajua anachokisimamia anaona jamaa anaenda mrama lazima aseme.Ni heri huyu bwana angekua rais kuliko huyu tulie nae sasa.
Hebu usitudharau wana UKAWANdio maana tulikuwa hatutaki Membe, kwa sababu mawazo yake hayana tofauti na Kikwete.
Ahamie UKAWA tu maana hamna namna nyingine sasa.
Ukawa ndio Kimbilio la wanafiki na mafisadi
Milango ipo wao wanapita madirishani.Sizonje.... Karibu nyumbani kwetu
Hii ndio nyumba yetu, tulimoficha miundu ya kuulia wezi.
Ndio tutawang'oa wote chadema na ccm na kuweka ACTWakitokea wapi hao wanaokimbilia UKAWA? Ukitaka kuuangamiza mti ng'oa mizizi