Membe ajikaanga kwa mafuta yake

Membe ajikaanga kwa mafuta yake

Jambazi sugu na fisadi papa Lowassa kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.

Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.

Utapigwa ndole kijana kuwa makini.
 
Afadhali Rais fisadi na mwenye maamuzi magumu atakaye tuletea maendeleo kuliko Rais mstaarabu atakayetupa umaskini,
Day, wewe umetoroka lini Mirembe? Ugonjwa wako ni wa hatari sana na unaambukiza zaidi walio na umaskini wa kipato na kifikra. Ni hatari sana na wewe hufai katika jamii ya waliostaarabika!
 
#Msengapavi mirembe tulikuwa wote nini?! nakumbuka nilikuwa daktar wako wewe mgonjwa wangu?! vipi ulishapona ndugu?!
 
Afadhali Rais fisadi na mwenye maamuzi magumu atakaye tuletea maendeleo kuliko Rais mstaarabu atakayetupa umaskini,
fisadi ni mwizi aache kujitajirisha akuletee maendeleo ww,toka lini mwizi akashiba mali mpeni muone yeye na genge lake litakavyo shughurika na mali na siyo walala hoi bado prince fredrick,miaka mingine kumi inapotea hivihivi.
 
Jambazi sugu na fisadi papa Lowassa kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.

Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.

😕😕Qn.what is chemistry??
Ans.history is blah blah blah..
 
Wafuasi wa ccm vichwa vyao wapo weupe kama watangaza nia wao
 
katiba haikatazi hilo ndugu kupokezana madaraka maana kura au maamuzi ya wengi ndio yanayotambulika kisheria.
 
Mtoa mada ameweka hoja yake vizuri ya changamoto kwa Membe katika kauli yake, nadhani ni vizuri wagombea wote wakapimwa katika mizani sawa kwasababu mathalani Membe anaweza kuwa Raisi wa nchi hii ndio maana sharti watu wampime.

SASA WEWE UNAKUJA NA CHUKI BINAFSI. kwanini msibadilike ninyi watu? LOWASAAA LOWASSAA LOWASAA si mtu kama watu wengine? si ni mgombea kama wagombea wengine?

CHUKI BINAFSI HAIFAI....

Pole sana...Hili jitu halisafishiki. lowasa uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu!!!
 
Acha kutumia ubongo wa bata kufikiria kwa kutumia ubongo wa bata.wewe ni kibaka panya road unamtukana edo!!!!!

Hilo furushi/zigo halisafishiki kamwe....lowasa anauwezo wa kuongoza ng'ombe sio watu!!!
 
Hapa anazungumziwa Membe! wewe uko Busy kumchafua Lowassa!!! Usikubali kuwa Robot !!! Inaonekana umelishwa maneno na wewe unayoatoa kama umewekewa umeme... Uwizi, Ufisadi wa Lowassa kwanini msianike hadharani? Watanzania si Wajinga tena: Fitna za Joka la Mdimu, plus kafara za kimwera na kuomba kwenye Makaburi hakuwezi kuwaondolea wananchi Umasikini uliokithiri kwenye nchi TAJIRI ... Lowassa hawezi kukubali Ujinga wa nchi za Magharibi kukwapua rasilimali zetu... Ndo maana tuna muunga mkono ...

Hili zigo/furushi kamwe halisafishiki unapoteza muda wako.......lowasa uwezo wake ni kuongoza ng'ombe sio watu!!!!
 
Ni hatari kwa nchi na kwa haki za wananchi kama nchi itamchagua kuwa rais mtu atakayetumia utashi wake kutoa maamuzi badala ya kufuata sheria na katiba.

Kwa hili la kuwaachia watoa rushwa kinyume cha katiba Membe ameonyesha kuwa hatafuata sheria wala katiba.
 
Vipanga tunawaacha shule watufundishie watoto wetu, huko ndio TCU wanataka GPA ya 4 kwenda mbele. Kitaa PASS inatosha na wengi wanatusua tu mbona, ukitaka vipanga basi Bilali hana mpinzani ila mziki wake ndio utajua vilaza ndio the best.

Siwezi kukumbatia kiongozi Kilaza Never ever
 
Jambazi sugu na fisadi papa Lowassa kamwe hawezi kuwa Rais wa Tanzania. Ni mwizi ana fitina hana hoja hawezi kujieleza. Hana ubobezi wa aina yoyote.

Nguvu yake kubwa ni kinunua watz kwa nguvu ya pesa.

Jambazi sugu na fisadi papa ni wale wanaoshindwa kumchukulia hatua Lowassa bali wamebaki kupiga majungu tu. Wananchi wanalalamika ufisadi, wenye mamlaka nao wanalalamika kwa wananchi ufisadi. Kuna ujinga unazidi huu? Kuanzia sasa ni heri kila anayenyoosha kidole cha ufisadi aonyeshe na hatua alizochukua kulingana na nafasi yake. Otherwise STFU!!!
 
Afadhali Rais fisadi na mwenye maamuzi magumu atakaye tuletea maendeleo kuliko Rais mstaarabu atakayetupa umaskini,

Hatari ya Fisadi atakununua wewe na ndugu zako kwa kigezo cha kutumia ardhi ya Kijijini kwenu kwa uwekezaji. Yule asione ardhi anayoitaka lazima atakuhamisha tu. Ushahidi tunao
 
Back
Top Bottom