Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,271
Jambazi sugu na fisadi papa ni wale wanaoshindwa kumchukulia hatua Lowassa bali wamebaki kupiga majungu tu. Wananchi wanalalamika ufisadi, wenye mamlaka nao wanalalamika kwa wananchi ufisadi. Kuna ujinga unazidi huu? Kuanzia sasa ni heri kila anayenyoosha kidole cha ufisadi aonyeshe na hatua alizochukua kulingana na nafasi yake. Otherwise STFU!!!
Bado hatujavuana magamba..............