Membe Aitwa "Rais" Bungeni

Membe Aitwa "Rais" Bungeni

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,268
Akichangia hotuba ya bajeti, Mbunge Mtutura amejikuta akimuita Waziri Membe "Rais" huku akiwa anampamba kwa misifa kedekede.

Hata hivyo alikiri kukosea lakn akasema anamuombea dua.

my take:

Huyu hakukosea alikua anatuma ujumbe................
 
Ni kweli alikuwa amekosea na hakumuita Membe kama Rais bali alisema hotuba ya Rais badala ya Hotuba ya Waziri
 
Member akiwa rais nitahama nchi,Bora nikaombe uraia nchi nyingine kuliko kukubali kutaabika kwa miaka mingine kumi,As if we have never had enough of Kikwete incompetent administration!Sad thing is,There are so many ignorant and uninformed Tanzanians who will actually vote for him!!
 
Member akiwa rais nitahama nchi,Bora nikaombe uraia nchi nyingine kuliko kukubali kutaabika kwa miaka mingine kundi,As if we have never had enough of Kikwete incompetent administration!

naomba uweke dau hapa
 
ukweli alikua anapinga vikali hoja ya Mh Wenje kwamba Membe ni mzigo
 
Hata kura za maoni hapiti.atakachofanywa na Edo atajuta.
 
Akichangia hotuba ya bajeti, Mbunge Mtutura amejikuta akimuita Waziri Membe "Rais" huku akiwa anampamba kwa misifa kedekede.

Hata hivyo alikiri kukosea lakn akasema anamuombea dua.

my take:

Huyu hakukosea alikua anatuma ujumbe................
Raisi wa walamba sembeeee nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom