Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 28, 2014 Thread starter #61 Mtoboasiri said: Mkuu, nimekukubali kwa matumizi ya lugha! Click to expand... nami nimekupa LIKE
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 28, 2014 Thread starter #62 mbesa1 said: hana lolote huyu membe, bajeti yake ni kusafiri coz akijisikia kwenda kujisaidia marekani anaenda. Click to expand... anahalalisha kwamba tz in idadi ndogo sana ya msafara kwani ni watu 50 tu ukilinganisha na usa
mbesa1 said: hana lolote huyu membe, bajeti yake ni kusafiri coz akijisikia kwenda kujisaidia marekani anaenda. Click to expand... anahalalisha kwamba tz in idadi ndogo sana ya msafara kwani ni watu 50 tu ukilinganisha na usa
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 28, 2014 Thread starter #63 AK 47 said: Hata tatu bora kwenye kura za maoni ndani ya ccm haiingii atakuwa kaamua kuchezea kamari hela yake kwenye mchakato Click to expand... Ukistaajabu ya musa.....................
AK 47 said: Hata tatu bora kwenye kura za maoni ndani ya ccm haiingii atakuwa kaamua kuchezea kamari hela yake kwenye mchakato Click to expand... Ukistaajabu ya musa.....................
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 May 28, 2014 Thread starter #64 DOUGLAS SALLU said: Pasco unauona uchokozi huu? Click to expand... upi tena Douglass?
Arnold Ringo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 2,318 Reaction score 394 May 28, 2014 #65 Hahahah siyo nacheka kwa Futaha basi nihuzuni sana hivi kweli B200 hatuzioni Maisha bora kwa kila Mtazania hayapo alafu unaleta hoja kama hiyo pole
Hahahah siyo nacheka kwa Futaha basi nihuzuni sana hivi kweli B200 hatuzioni Maisha bora kwa kila Mtazania hayapo alafu unaleta hoja kama hiyo pole