Membe Aitwa "Rais" Bungeni

Membe Aitwa "Rais" Bungeni

Ni kweli alikuwa amekosea na hakumuita Membe kama Rais bali alisema hotuba ya Rais badala ya Hotuba ya Waziri

Ingekuwa mbunge wa upinzani amemuita kiongozi wake Rais huko Bungeni kwa kukosea, usinge ongea kwa kulainika kama hapa.
 
Yaani miaka kumi ya mhe wa kusini kuuza nchi haya kutosha mnataka kuturudisha tena huko? Tujaribu kaskazini ama Znz target awe Salim A Salim ...
 
Ingekuwa mbunge wa upinzani amemuita kiongozi wake Rais huko Bungeni kwa kukosea, usinge ongea kwa kulainika kama hapa.

huyu sikumsoma kabisa, labda wewe mwenzangu
 
Yaani miaka kumi ya mhe wa kusini kuuza nchi haya kutosha mnataka kuturudisha tena huko? Tujaribu kaskazini ama Znz target awe Salim A Salim ...

Salim tena? mhhhhhhhhhhhhhhh
 
Akichangia hotuba ya bajeti, Mbunge Mtutura amejikuta akimuita Waziri Membe "Rais" huku akiwa anampamba kwa misifa kedekede.

Hata hivyo alikiri kukosea lakn akasema anamuombea dua.

my take:

Huyu hakukosea alikua anatuma ujumbe................

Membe mtetea Kadhi na OIC. Amekosa sifa za kuwa Rais
 
huenda siasa za nchi hii hajazijua anajiaminisha tu

Ngoja nimsaidie japo kwa kifupi sana kwamba siasa za nchi yetu ni kama mchezo wa soka, yaani mwamuzi ni dakika tisini.
 
Ngoja nimsaidie japo kwa kifupi sana kwamba siasa za nchi yetu ni kama mchezo wa soka, yaani mwamuzi ni dakika tisini.

tena si tu dk 90 kama umeona ya Malawi, nakukumbusha pia mechi ya Juzi ya Atletico kwamba ni filimbi ya mwisho
 
Member will never be the President of this great Nation,Mark my words bro!

wewe ndio unawaamulia watanzania? ambao previously umewadescribe hivi ''There are so many ignorant and uninformed Tanzanians who will actually vote for him!!?? ''
 
Team Lowasa mpo wapi watu wanaongea ujinga huku?!Eti Membe awe Rais!Nianze tu kutafuta hifadhi nchi nyingine.

HATA UPUUZI UIKIUZOEA UNAKUA TABIA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom