pixel
JF-Expert Member
- Jun 22, 2012
- 1,630
- 406
hutaki unatembea mbele,
Hapa sio nyumbani kwako,hapa kuna taratibu zake kwamba HAKIKISHA UKIWEKA HABARI IWE NI HABARI YA KISIASA KWELI.sio unaleta kauli za kipuuzi eti "hutaki unatembea mbele" wakati ni kweli habari haijaweka kielelezo chochote.kama unataka nitembee mbele usiweke habari hapa weka nyumbani kwenu uone kama nitakuuliza,unajifanya mwendawazimu sio?