Membe ahaha kutaka kuhamia kambi ya Lowassa

hutaki unatembea mbele,

Hapa sio nyumbani kwako,hapa kuna taratibu zake kwamba HAKIKISHA UKIWEKA HABARI IWE NI HABARI YA KISIASA KWELI.sio unaleta kauli za kipuuzi eti "hutaki unatembea mbele" wakati ni kweli habari haijaweka kielelezo chochote.kama unataka nitembee mbele usiweke habari hapa weka nyumbani kwenu uone kama nitakuuliza,unajifanya mwendawazimu sio?
 
Thubutu zenu mimi ninavyo jua wafuasi wote wa Lowasa wanawajibika kwa Membe. Lowasa kabaki na Chenge na Serukamba plus yule raia wa Kigeni
 
Hapa sio nyumbani kwako,hapa kuna taratibu zake kwamba HAKIKISHA UKIWEKA HABARI IWE NI HABARI YA KISIASA KWELI.sio unaleta kauli za kipuuzi eti "hutaki unatembea mbele" wakati ni kweli habari haijaweka kielelezo chochote.kama unataka nitembee mbele usiweke habari hapa weka nyumbani kwenu uone kama nitakuuliza,unajifanya mwendawazimu sio?

mwenda wazimu ni ww usiye jitambuwa unayejivisha kofia ya mods wakati familia yako yenyew umeshindwa kuiyongoza jitambue,we ni mpuuz tu kama wapuuz wengine,na cio lazma utembee mbele unaweza kutembea kinyume nyume vilevile ukafika kwa museveni
 
huna jipya muimba taarabu,maneno mengi na matusi huwa ni ishara ya uwezo mdogo wa kutetea hoja.sasa mimi sio wa hivyo,nimekuchana na imekugusa.nimetimiza wajibu wangu kukurekebisha,sisi ndio walimwengu wenyewe.
 
wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo

Membe amepata kibano gani hata aungane na Lowassa?
 
hata huo ubunge wenyewe katizama mbali akaona hata agombee tena hawez upata
2010 Membe alipata kura 26625 asilimia 81.76 ccm.
mgombea wa
TLP NDAKA ISAAC WOLFGANG. KURA 4137 ASILIMIA 12.7
Punguza uongo mkuu,kutokugombea tena ubunge 2015,ameamua wala hana upinzani wowote,kwa vile anasubiri kuoteshwa.Narudia tena uongo haufai,umeniskia wewe
KENGE?
 
wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo
Mkuu Kiloriti, mbona umeiwahisha sana kuiposti hii kitu?!, the plan si ni ilikuwa uipandishe ile siku ya tarehe 1/04/2014.
Pasco
 
This is very cheap! Hivi huna la kuandika mpaka unaamua kujivua nguo hadharani. Is this a retirement of imprest? This can only be possible if you imagine that God can sit and dine with a devil. It is clear kwamba Membe ni mwiba katika kambi hii na ndiyo maana haishi midomoni mwao.

psubirini mkutane 'kwa debe' tukarangane.
 
mkuu pasco nataka pro membe humu ndan watambue bos wao a meanza kuwasaliti,wakati wao wanakesha mitandaoni kumpigia debe mtu ambaye hauziki anasubiria huruma ya dada yake mama salma
 
huna jipya muimba taarabu,maneno mengi na matusi huwa ni ishara ya uwezo mdogo wa kutetea hoja.sasa mimi sio wa hivyo,nimekuchana na imekugusa.nimetimiza wajibu wangu kukurekebisha,sisi ndio walimwengu wenyewe.

jitahidi endelea kumpigia debe huyu mumeo watoto wako wasife njaa
ila hauziki anakesha akiitegemea familia ya rais
 
2010 Membe alipata kura 26625 asilimia 81.76 ccm.
mgombea wa
TLP NDAKA ISAAC WOLFGANG. KURA 4137 ASILIMIA 12.7
Punguza uongo mkuu,kutokugombea tena ubunge 2015,ameamua wala hana upinzani wowote,kwa vile anasubiri kuoteshwa.Narudia tena uongo haufai,umeniskia wewe
KENGE?

inaelelekea ww utakuwa mke wake,hichi kiere ere cyo cha mtu wa kawaida ww utakuwa ni mama membe dam damu
Hizo kura alizoshinda zilikuwa za 2010,tunazungumzia mwakani mbwa jike ww
 
This is very cheap! Hivi huna la kuandika mpaka unaamua kujivua nguo hadharani. Is this a retirement of imprest? This can only be possible if you imagine that God can sit and dine with a devil. It is clear kwamba Membe ni mwiba katika kambi hii na ndiyo maana haishi midomoni mwao.

psubirini mkutane 'kwa debe' tukarangane.

Mkuu, hawezi kukujibu maana hataelewa kitu. Si umeona kiswahili tu taabu tupu. Eti anajiita kiloriti. Ni ukabila na njaa vinamsumbua.
 
Back
Top Bottom