Membe ahaha kutaka kuhamia kambi ya Lowassa

Membe ahaha kutaka kuhamia kambi ya Lowassa

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo
 
aendelee kuitegemea familia ya jk.nini kimemshinda?
 
Tunahitaji taarifa zenye ukweli unajua ninyi watu wa Lowasa hamna akili hata kidogo kila kukicha siasa zenu ni za uongo Membe kapungukiwa nn mpaka amtafute lowasa

unauliza nini ww,membe kapungukiwa nn?mpigie muulize anavyohemeshwa na mamvi
 
kamwe lowassa hawez mpokea huyu mnafiki asiye na mtaji wowote kisiasa,amechabanwa nahemea mashine ndio leo anataka kuhamia kamwe hatukubali hata hizo kura hatumpa lowassa endapo atamkubali membe
 
Mamvi ni mgonjwa Membe wa afya anayetakiwa kuhema ni nani mgonjwa au mzima

angekuwa mgonjwa asingeweza kumhemea membe kisogoni,muulize membe akwambie lowassa navyomuhemea
 
Tunahitaji taarifa zenye ukweli unajua ninyi watu wa Lowasa hamna akili hata kidogo kila kukicha siasa zenu ni za uongo Membe kapungukiwa nn mpaka amtafute lowasa

jadili hoja usitake nipigwe ban,
 
Mnajitahidi kweli kufungua akaunt ili muonekane mpo wengi ama kweli kula pesa ya Lowasa panahitaji mbinu nyingi huu ni wali wa mwaka mpya
 
Mamvi ni mgonjwa Membe wa afya anayetakiwa kuhema ni nani mgonjwa au mzima

Uko sahihi wafuasi wa Lowassa watazimia 2015 wataona "D'eja vu" ya Kikwete na kamati kuu ambayo ilishajua hafai
 
Mnajitahidi kweli kufungua akaunt ili muonekane mpo wengi ama kweli kula pesa ya Lowasa panahitaji mbinu nyingi huu ni wali wa mwaka mpya

membe kweli anayo hasara,anakutegemea ww umpigie debe???naona mnazidiwa tu mnahaha kutaka kuhamia kwa lowassa,huko mlango umeshafungwa toka new year
 
Kuna Mangula na kinana atawashughurilkia mumepigwa na riz itakuwa Membe mlipeleka mihela chalinze mumepigwa nazo ila hamjifunzi na bado Pesa siyo kila kitu
 
Kuna Mangula na kinana atawashughurilkia mumepigwa na riz itakuwa Membe mlipeleka mihela chalinze mumepigwa nazo ila hamjifunzi na bado Pesa siyo kila kitu

Ritz mwenyewe katoa pesa CCM wanachama wanakauli yao kuwa mkono mtupu haulambwi! Hata kama wewe wanakupenda kama wewe ni mkono wa bitika inakula kwako
 
Sio membe tu,wengi tu wataomba kujiunga kwenye kundi la ccm mtandao,chini ya alie kua mwenyekiti mh lowasa, m/kiti,Ambae mpaka sasa anaendelea kuliongoza,shughuli nipevu,
 
jk.JPG

JK AKIWA NA MUDHIHIR WAKISALIMIANA

MUDHIHIRI NI MMOJA YA WATU 6 AMBAO TULIAMBIWA LAZIMA WAKIMBILIE KENYA MEMBE AKICHUKUA NCHI
 
Back
Top Bottom