Membe ahaha kutaka kuhamia kambi ya Lowassa

Mkuu, hawezi kukujibu maana hataelewa kitu. Si umeona kiswahili tu taabu tupu. Eti anajiita kiloriti. Ni ukabila na njaa vinamsumbua.

mkuu hivi nawwe ni kati ya wale ambao wakiona jina la lowassa unakuwa unawashwa washwa?
 
jitahidi endelea kumpigia debe huyu mumeo watoto wako wasife njaa
ila hauziki anakesha akiitegemea familia ya rais

wewe mbung'o mbona unakazi ya kutukana watu humu JF na hutoi hoja?hapa JF hatuishi hivi.thread nzima ni matusi yako tu,hoja hutoi!unamatatizo gani?Lowasa ni mwanasiasa kama wengine ambao tunahaki ya kuwakosoa walipokosea,mimi sijasema namshabikia membe.mimi nimesema toa vielelezo kua membe anataka kuonana na EL wakati EL anamkwepa.TOA USHAIDI HAPA HATUTAKI UDAKU. CC;invisible
 
inaelekea ww unaniwaza niwe mumeo,ila ni pm nilete mahari,hv kwa akili yako ilivyo ndogo umeshindwa kumtambuwa mleta uzi,au una mahaba na mimi,acha ujinga wako mi huwa situmii hy mambo
 
Watu wa Lowassa ndio mnaoharubu utaratibu humu Jukwaani
Matusi ya nini mtu km
  • jitahidi endelea kumpigia debe huyu mumeo watoto wako wasife njaaila hauziki anakesha akiitegemea familia ya rais
  • inaelekea ww unaniwaza niwe mumeo,ila ni pm nilete mahari,hv kwa akili yako ilivyo ndogo umeshindwa kumtambuwa mleta uzi,au una mahaba na mimi,acha ujinga wako mi huwa situmii hy mambo
kiloriti kanusu huu ukabila na ndoto za mchana acheni
B. Membe hawezi kwenda kwa Lowassa kwa ushauri wowowte uwe wa Afya, kiumri au hata mbinu chafu za kuwania Urais
 
Last edited by a moderator:
wadau!
Sasa nimeamini wale waliosema simba akizidiwa hula majani hawakukosea,
habar za chini chini zinasema wazir wa mambo ya nje benard membe amekuwa anahangaika usik kucha kuhakikisha anakuwa mmoja ya watu wa kambi ya lowassa,habar za ndn zinasema amekuwa akifny jitihad kila kukicha kutaka kuonna na lowassa lakin mh lowassa amekuwa akimkwepa,baada ya kuona jitihada zake kugonga mwamba za kumuona lowassa ameamuwa kuwatumia wafuas wa lowassa ili wamshawishi lowassa akubali membe kuungana na kambi yake,sasa tujiulize ndio kwaamba membe ameona kibano kimezidi au lengo ni kwaajili ya kuivuruga kmbi ya mh lowassa?kaz ipo

How trusted is your source?
 
inaelekea ww unaniwaza niwe mumeo,ila ni pm nilete mahari,hv kwa akili yako ilivyo ndogo umeshindwa kumtambuwa mleta uzi,au una mahaba na mimi,acha ujinga wako mi huwa situmii hy mambo

hoja huna.mburula
 
utatukana sna,ila tambuwa watanzania washamkubali lowassa ndiye rais wetu mtarajiwa

mimi na wewe nani anatukana?toka tumeanza kuzozana hapa umeona wapi mimi nakataa/nakataza Lowasa kuwa Rais?mimi naweza kuwapinga watanzania wakimtaka mtu wao?wewe sio mtu wa kawaida,utakua na tatizo kubwa sana kiakili chalii,ndo kwanza una miaka 24 je ukifika 60 itakuaje?unatabia za kimasai,kujifanya huelewi elewi na kulazimisha mambo,pia elimu huna maana kuna hekima flani ndogo ndogo za kishule huna unazo za kusimamia mifugo malisho,malambo,josho,zizi nk.soma utoe ukungu machoni.
 
tatzo nimegunduwa una ufinyu wa mawazo,id hata cikumoja haiwez kuhalalisha kabila la mtu.
Hii inaonyesha kabs uwezo na akili yako ya kufikiria kwamba umegota.unasema mi sijasoma,ila nikuambie tu shule yako unayo sema unayo niseme tu kwa lugha nyepesi hauingii kwang hata robo ila nashindwa kujuwa kama ww ulienda shule na haikusaidii kulikuwa kuna gan yakwenda,umeishia kuajira mitandaon kwaajili ys kumchafuwa lowassa,na kma ungekuwa na elimu imekuwaje umeishia kunywa gongo kwa malipo ya kumchafuwa lowassa.wazz wako wenyew na mkeo anatambuwa lowassa ni jembe
 
Hata lowasa hivi karibuni alimtaka wassira waonane ila wakawa wanaogopana.
Ila watanzania mnapaswa kufahamu ccm wanaogopana wao kwa wao yani awaaminiani hata kodogo.
 
tatzo nimegunduwa una ufinyu wa mawazo,id hata cikumoja haiwez kuhalalisha kabila la mtu.
Hii inaonyesha kabs uwezo na akili yako ya kufikiria kwamba umegota.unasema mi sijasoma,ila nikuambie tu shule yako unayo sema unayo niseme tu kwa lugha nyepesi hauingii kwang hata robo ila nashindwa kujuwa kama ww ulienda shule na haikusaidii kulikuwa kuna gan yakwenda,umeishia kuajira mitandaon kwaajili ys kumchafuwa lowassa,na kma ungekuwa na elimu imekuwaje umeishia kunywa gongo kwa malipo ya kumchafuwa lowassa.wazz wako wenyew na mkeo anatambuwa lowassa ni jembe

sijakwambia mimi msomi,hebu rekebisha maandishi yako ukisharudi malishoni.naona unaandika msg huku unafukuza moooo,meee,khoroo!mwenzio naingia ofisini wakati wewe unaingia porini full umande.badae!
 
hata hivyo najuwa unaingia kwenye ofis yako ya humu ndan jf.najuwa umeajiriwa kwa kazi ile ile niliyokuambia ili ikusaidie kulisha familia yako na ndugu zako
Ila nikuambie tu na huyo anayekutumia kama ile mipira yetu kwamba mmechelewa na mpango wenu wa kumchafuwa lowassa amesha waminya ipasavyo wala hakuna pa kutokea watanzania wa leo cyo wa mwaka ule wa 47.mwenzako ben amesha shtukia umeachwa hapo unachumia tumbo
 
acha kujidhalilisha mbwa jike ww.
Umeona kuajiriwa humu jf ndio ajira.na uombe Mungu jf isifungiwe utauza hyo nyama unayokalia
 
Ritz mwenyewe katoa pesa CCM wanachama wanakauli yao kuwa mkono mtupu haulambwi! Hata kama wewe wanakupenda kama wewe ni mkono wa bitika inakula kwako

Kuchaguliwa kwa Ridhwani kwa kura za maoni za ccm huko Chalinze kugombea ubunge kuna dhihilisha kuwa UHALIFU NA SIASA ni vitu vinavyokwenda pamoja!! Kijana huyu anajulikana kama mhalifu wa kimataifa [Drug trafficker] anayetaka kutumia ubunge kama kinga yake mara tu baba yake atakapotoka madarakani!!!
 
CCM kwa makambi ni balaa - ni fitna tupu kama club ya yanga vile.
 
hata hivyo najuwa unaingia kwenye ofis yako ya humu ndan jf.najuwa umeajiriwa kwa kazi ile ile niliyokuambia ili ikusaidie kulisha familia yako na ndugu zako
Ila nikuambie tu na huyo anayekutumia kama ile mipira yetu kwamba mmechelewa na mpango wenu wa kumchafuwa lowassa amesha waminya ipasavyo wala hakuna pa kutokea watanzania wa leo cyo wa mwaka ule wa 47.mwenzako ben amesha shtukia umeachwa hapo unachumia tumbo

Nimerudi kazini,kuna yule punda ulienda nae asubuhi machungani,amezaa?jitahidi usilishe kwenye mashamba ya watu.funga zizi vizuri uanze kukamua muda umefika.
 
Back
Top Bottom