Hussein Bashe: Masalia ya Lowassa ndani ya CCM yanayopinga Sera za Rais Magufuli

Mgambilwa ni mntu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
2,869
Reaction score
3,189
Miongoni mwa Wabunge wanaoonekana kuwa smart upstairs na ambaye hivi karibuni amepata "legitimacy" kubwa kwenye umma wa Watanzania ni Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini kwa tiketi ya CCM. Mbunge huyu aliyeukosa ubunge 2010 kimizengwe licha ya kuwa mshindi kwenye Kura za Maoni, amekuwa kila mara akiikosoa Serikali katika Sera zake na wakati mwingine kwa lugha kali isiyovumilika kwa manazi wa CCM.
Katika namna ya kutaka kujijengea uhalali ionekane hoja zao zinaungwa mkono na Wabunge wenzao bungeni, amekuwa mara kwa mara akisapoti hoja za Nape Nnauye and the vice versa is true. Mojawapo ya masuala ambayo wameyapinga waziwazi bungeni ni: Katiba mpya; Mradi wa Stiegler's Gorge; Mradi wa SGR; Kutoendelezwa Gesi; Mauaji ya Kibiti; Kutoweka kwa watu; Kuzorota kwa biashara; Operation dhidi ya Uvuvi Haramu; na mengine mengi.
Cha ajabu ni kwamba, hawajawahi kuonekana hata siku moja wakikitetea Chama chao cha CCM ama Serikali iwe bungeni ama nje ya Bunge katika Hoja hot zinazosimamiwa na Wapinzani. Tunawasikia tu akina Ally Keissy wa Nkasi. Kwa hayo utaona, tatizo la Bashe na Nape wanajijua kuwa wao ni masalia tu ya Lowassa na Membe na hawana uhakika na kesho yao or otherwise hawajui maana ya siasa za upinzani. CHADEMA hawajawahi kuunga mkono hoja za Serikali, kwa nini halioni hilo?

Hali hiyo ndiyo inafanya Hoja aliyoitoa Ijumaa tarehe 18.05.2018 bungeni Dodoma, alipoliomba Bunge kubadilisha Kanuni ya Vyama kufanya vikao vya mikakati bungeni.
Ukitaka hata kujua ukakasi wa alichokuwa akijenga, ni jinsi alivyokuwa akishangiliwa na Wabunge wa Upinzani, Asking Y? It's just simple, he is of theirs. Yesu aliwahi kuwaambia wanafunzi wake: "Wa kwangu wananitambua." So, Hussein Bashe ni wa kwao.
Hussein Bashe ajiulize, kama isingekuwa Party Caucuses, CCM ya Kikwete ingesalimika kwa scandal za rushwa (grand corruption) jinsi zilivyokuwa nyingi? Je, anakumbuka masuala yalivyokuwa hot kipindi kile cha Katiba? Nani amesahau jinsi Party Caucus ya Samuel Sitta ilivyoiokoa CCM baada ya kuwalazimisha Wabunge wa CCM (waliokuwa wanaikubali Rasimu ya Warioba) kwa visemina na mihela kibao ili wakatae Pendekezo la Serikali Tatu katika Rasimu ya Warioba?

Anachokipinga Hussein Bashe, ni mojawapo ya definition kuu za mabunge ya nchi zilizoendelea zinazotumia Mfumo wa Kibunge kama Uingereza na Ujerumani. Je, Bashe anafahamu kama Tanzania (Democratic System) inatumia Mixed System, inayochanganya Presidential na Parliamentary? Je, ukiondoa Kanuni za misimamo ya kambi, anataka waondoe pia yafuatayo, ili tubaki kwenye Mfumo wetu original wa Presidential System?
  • Nafasi ya Waziri Mkuu iondolewe.
  • Mawaziri wasitokane na Bunge.
  • Mawaziri kutowajibika kwenye Bunge.
  • Rais kutokuwa sehemu ya Bunge (kupitia AG).
  • Miswada ya Sheria kusainiwa na Spika na siyo Rais.
  • Kutokuwepo kwa Wizara Kivuli.
Hayo ni baadhi ya mambo yanayoifanya Tanzania kuwa kati ya Presidential na Parliamentary na utahita Katiba mpya tu kutabadilisha hayo kwani Ndiyo yameshikilia Muungano wa Tanzania. Pasipo Rais wa JMT kuwa na Mamlaka ya ku-assent, Bunge (Parliament) litakuwa na nguvu nyingi na kuiyumbisha Serikali (Executive) hasa kwenye masuala taboos kwenye Siasa za Tanzania. Tutaona G 55 (Njelu Kasaka) nyingine mapema sana.
Natoa hoja.
 
Ni mtazamo wako. Yuko sahihi kwa namna anavyochangia na anatumia mahali muafaka. Hili la kumuhusisha na Lowasa ni kumtaka tu atoke nje ya reli.
 
Wabunge kazi yao ni kutunga sheria na kuisimamia serikali! Tatizo la wabunge wa ccm wanataka kila wakiamka waitete na kuisifia serikali hata kwa mambo hayafai! Sasa ikitokea mmoja kutoka miongoni mwao mwenye mawazo tofauti na wao anaonekana eidha anatumiwa na wapinzani! Huu ubauzi ambao wameuanzishaga na sasa unawarudi hata wao!
 
Alishasema CCM Kwanza Serikali baadaye kwa kauli hii, yuko na ufahamu mkubwa.

CCM ndiyo iliyounda serikali, chama ndiyo kilinadi Sera, hivyo serikali isibembelezwe ishinikizwe itende.
 
Kazi ya bunge ni kusimamia serikali, kuishauri na kuiwajibisha ifuate sheria!!!

Juzi Abdala Bulembo kasema wazi wazi kuwa wafanyakazi wanalia, wafanyabiashara wanalia na wavuvi na wakulima wanalia, je ni masalia ya nani?!!

Kiapo cha CCM ni daima kusema kweli na unafiki ni mwiko, Ila wasema kweli wanageuzwa maadui!!!

Awamu ya V-WONDER!!
 
Miongoni mwa Wabunge wanaoonekana kuwa smart upstairs na ambaye hivi karibuni amepata "legitimacy" kubwa kwenye umma wa Watanzania ni Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini kwa tiketi ya CCM. Mbunge huyu aliyeukosa ubunge 2010 kimizengwe licha ya kuwa mshindi kwenye Kura za Maoni, amekuwa kila mara akiikosoa Serikali katika Sera zake na wakati mwingine kwa lugha kali isiyovumilika kwa manazi wa CCM.
Katika namna ya kutaka kujijengea uhalali ionekane hoja zao zinaungwa mkono na Wabunge wenzao bungeni, amekuwa mara kwa mara akisapoti hoja za Nape Nnauye and the vice versa is true. Mojawapo ya masuala ambayo wameyapinga waziwazi bungeni ni: Katiba mpya; Mradi wa Stiegler's Gorge; Mradi wa SGR; Kutoendelezwa Gesi; Mauaji ya Kibiti; Kutoweka kwa watu; Kuzorota kwa biashara; Operation dhidi ya Uvuvi Haramu; na mengine mengi.
Cha ajabu ni kwamba, hawajawahi kuonekana hata siku moja wakikitetea Chama chao cha CCM ama Serikali iwe bungeni ama nje ya Bunge katika Hoja hot zinazosimamiwa na Wapinzani. Tunawasikia tu akina Ally Keissy wa Nkasi. Kwa hayo utaona, tatizo la Bashe na Nape wanajijua kuwa wao ni masalia tu ya Lowassa na Membe na hawana uhakika na kesho yao or otherwise hawajui maana ya siasa za upinzani. CHADEMA hawajawahi kuunga mkono hoja za Serikali, kwa nini halioni hilo?

Hali hiyo ndiyo inafanya Hoja aliyoitoa Ijumaa tarehe 18.05.2018 bungeni Dodoma, alipoliomba Bunge kubadilisha Kanuni ya Vyama kufanya vikao vya mikakati bungeni.
Ukitaka hata kujua ukakasi wa alichokuwa akijenga, ni jinsi alivyokuwa akishangiliwa na Wabunge wa Upinzani, Asking Y? It's just simple, he is of theirs. Yesu aliwahi kuwaambia wanafunzi wake: "Wa kwangu wananitambua." So, Hussein Bashe ni wa kwao.
Hussein Bashe ajiulize, kama isingekuwa Party Caucuses, CCM ya Kikwete ingesalimika kwa scandal za rushwa (grand corruption) jinsi zilivyokuwa nyingi? Je, anakumbuka masuala yalivyokuwa hot kipindi kile cha Katiba? Nani amesahau jinsi Party Caucus ya Samuel Sitta ilivyoiokoa CCM baada ya kuwalazimisha Wabunge wa CCM (waliokuwa wanaikubali Rasimu ya Warioba) kwa visemina na mihela kibao ili wakatae Pendekezo la Serikali Tatu katika Rasimu ya Warioba?

Anachokipinga Hussein Bashe, ni mojawapo ya definition kuu za mabunge ya nchi zilizoendelea zinazotumia Mfumo wa Kibunge kama Uingereza na Ujerumani. Je, Bashe anafahamu kama Tanzania (Democratic System) inatumia Mixed System, inayochanganya Presidential na Parliamentary? Je, ukiondoa Kanuni za misimamo ya kambi, anataka waondoe pia yafuatayo, ili tubaki kwenye Mfumo wetu original wa Presidential System?
  • Nafasi ya Waziri Mkuu iondolewe.
  • Mawaziri wasitokane na Bunge.
  • Mawaziri kutowajibika kwenye Bunge.
  • Rais kutokuwa sehemu ya Bunge (kupitia AG).
  • Miswada ya Sheria kusainiwa na Spika na siyo Rais.
  • Kutokuwepo kwa Wizara Kivuli.
Hayo ni baadhi ya mambo yanayoifanya Tanzania kuwa kati ya Presidential na Parliamentary na utahita Katiba mpya tu kutabadilisha hayo kwani Ndiyo yameshikilia Muungano wa Tanzania. Pasipo Rais wa JMT kuwa na Mamlaka ya ku-assent, Bunge (Parliament) litakuwa na nguvu nyingi na kuiyumbisha Serikali (Executive) hasa kwenye masuala taboos kwenye Siasa za Tanzania. Tutaona G 55 (Njelu Kasaka) nyingine mapema sana.
Natoa hoja.
Umeeleza kwa ufafanuzi hasa nafasi au mamalaka ya Rais katika Bunge.

Wengi wanadhani Rais ni Kiongozi Mkuu wa Serikali, la hasha. Kiongozi Mkuu wa Serikali ni Waziri Mkuu. Japo madaraka yake yamefichika katika Katiba ya JMT (1977), ana mamlaka kama Spika na Jaji Mkuu, viongozi wakuu wengine wa mihimili ya Dola (Serikali, Bunge na Mahakama).

Rais pamoja na kuwa Amiri Mkuu wa Jeshi ndiyo kiongozi Mkuu (Chief Executive) wa Dola inayoitwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini Bashe na Nape wanalijua hilo.

Kuwa mbunge lazima upitishwe kwanza na chama chako cha siasa. Mbunge anapaswa kuwa mwaminifu na mtiifu kwa chama chake iwe masika au kiangazi. CCM, chama cha siasa cha Bashe na Nape, ndio kimeunda Serikali. Bashe na Nape wanalijua hilo na kwamba wanakihitaji chama chao cha siasa kujimwambafai, kama wanavyofanya, na siyo chama kinawahitaji wao.

Kwa sababu hizo kukisoa chama na Serikali nje ya vikao halali vyake, kama wanavyofanya bungeni, ni uhasi ulio wazi. WAJITAFAKARI KWA KINA.
 
HAWA Jamaa tatizo mtu akiongea ukweli mnasema ni masalia hivi jameni watu wazima wanapopotea jumla jumla ni usalia huo??

Kama ni mama..kaka au baba yako akapotea hivi ukisema wewe mwandishi utakua kumbe unachochea sio?? Acheni akili za kuku hizi
 
Miongoni mwa Wabunge wanaoonekana kuwa smart upstairs na ambaye hivi karibuni amepata "legitimacy" kubwa kwenye umma wa Watanzania ni Hussein Bashe, Mbunge wa Nzega Mjini kwa tiketi ya CCM. Mbunge huyu aliyeukosa ubunge 2010 kimizengwe licha ya kuwa mshindi kwenye Kura za Maoni, amekuwa kila mara akiikosoa Serikali katika Sera zake na wakati mwingine kwa lugha kali isiyovumilika kwa manazi wa CCM.
Katika namna ya kutaka kujijengea uhalali ionekane hoja zao zinaungwa mkono na Wabunge wenzao bungeni, amekuwa mara kwa mara akisapoti hoja za Nape Nnauye and the vice versa is true. Mojawapo ya masuala ambayo wameyapinga waziwazi bungeni ni: Katiba mpya; Mradi wa Stiegler's Gorge; Mradi wa SGR; Kutoendelezwa Gesi; Mauaji ya Kibiti; Kutoweka kwa watu; Kuzorota kwa biashara; Operation dhidi ya Uvuvi Haramu; na mengine mengi.
Cha ajabu ni kwamba, hawajawahi kuonekana hata siku moja wakikitetea Chama chao cha CCM ama Serikali iwe bungeni ama nje ya Bunge katika Hoja hot zinazosimamiwa na Wapinzani. Tunawasikia tu akina Ally Keissy wa Nkasi. Kwa hayo utaona, tatizo la Bashe na Nape wanajijua kuwa wao ni masalia tu ya Lowassa na Membe na hawana uhakika na kesho yao or otherwise hawajui maana ya siasa za upinzani. CHADEMA hawajawahi kuunga mkono hoja za Serikali, kwa nini halioni hilo?

Hali hiyo ndiyo inafanya Hoja aliyoitoa Ijumaa tarehe 18.05.2018 bungeni Dodoma, alipoliomba Bunge kubadilisha Kanuni ya Vyama kufanya vikao vya mikakati bungeni.
Ukitaka hata kujua ukakasi wa alichokuwa akijenga, ni jinsi alivyokuwa akishangiliwa na Wabunge wa Upinzani, Asking Y? It's just simple, he is of theirs. Yesu aliwahi kuwaambia wanafunzi wake: "Wa kwangu wananitambua." So, Hussein Bashe ni wa kwao.
Hussein Bashe ajiulize, kama isingekuwa Party Caucuses, CCM ya Kikwete ingesalimika kwa scandal za rushwa (grand corruption) jinsi zilivyokuwa nyingi? Je, anakumbuka masuala yalivyokuwa hot kipindi kile cha Katiba? Nani amesahau jinsi Party Caucus ya Samuel Sitta ilivyoiokoa CCM baada ya kuwalazimisha Wabunge wa CCM (waliokuwa wanaikubali Rasimu ya Warioba) kwa visemina na mihela kibao ili wakatae Pendekezo la Serikali Tatu katika Rasimu ya Warioba?

Anachokipinga Hussein Bashe, ni mojawapo ya definition kuu za mabunge ya nchi zilizoendelea zinazotumia Mfumo wa Kibunge kama Uingereza na Ujerumani. Je, Bashe anafahamu kama Tanzania (Democratic System) inatumia Mixed System, inayochanganya Presidential na Parliamentary? Je, ukiondoa Kanuni za misimamo ya kambi, anataka waondoe pia yafuatayo, ili tubaki kwenye Mfumo wetu original wa Presidential System?
  • Nafasi ya Waziri Mkuu iondolewe.
  • Mawaziri wasitokane na Bunge.
  • Mawaziri kutowajibika kwenye Bunge.
  • Rais kutokuwa sehemu ya Bunge (kupitia AG).
  • Miswada ya Sheria kusainiwa na Spika na siyo Rais.
  • Kutokuwepo kwa Wizara Kivuli.
Hayo ni baadhi ya mambo yanayoifanya Tanzania kuwa kati ya Presidential na Parliamentary na utahita Katiba mpya tu kutabadilisha hayo kwani Ndiyo yameshikilia Muungano wa Tanzania. Pasipo Rais wa JMT kuwa na Mamlaka ya ku-assent, Bunge (Parliament) litakuwa na nguvu nyingi na kuiyumbisha Serikali (Executive) hasa kwenye masuala taboos kwenye Siasa za Tanzania. Tutaona G 55 (Njelu Kasaka) nyingine mapema sana.
Natoa hoja.
Bashe amekuwa akiongea vitu positive. Tatizo len alitokea mbunge wenu ndani ya chama tawala akiongea positive things mna muona msaliti. Shida yenu ndio hiko hapo
 
hahahahha mkuu umenichekesha sana sana sana. kwamba hata serikali ikifanya madudu wabunge waunge mkono. ndiyooooooooooo
 
Anajidanganya na kuwadanganya wajinga. Maana ya Sera ama bajeti siyo process ya mtu mmoja bali mchakato mrefu na mgumu kuamuliwa. Kama Sera siyo nzuri hasa iliyoanzishwa kupitia Cabinet, huwa ni ngumu kupita kwenye tanuru la Inter-Ministerial Technical Committee (IMTC) kutokana na Wataalamu kuhusisha vigezo vingi.
Mbunge angepinga kitu kimoja hapo utasema ni sawa IMTC hawakuliona kwa mapana yake. Lakini Mbunge akikosoa kila kitu lazima ujiulize, huyu anataka Serikali ibadilishe kila kitu ama lengo lake ni kuiangusha Serikali?

Ukisema kazi ya Mbunge siyo kuitetea Serikali, sasa atatetea muda gani Chama chake? Je, anadhani Serikali ikionekana haifanyi vizuri, watakaoumia ni viongozi pekee ama na Chama pia? Bashe asijidai anajua sana siasa ukilinganisha Serikali, ni bora ajiondoe agombee upinzani ili akaikosoe kwa uhuru Serikali. Aone aibu kwani kwenye demokrasia ya Kibunga tunayofuata, kitu cha muhimu ni msimamo wa Chama na siyo uwezo wa mtu mmoja mmoja.
Ukimtoa Zitto Kabwe (ambaye hata hivyo ni mpinzani), Hussein Bashe na Nape Nnauye ndio wanaoongoza kuutangaza upinzani bungeni kuliko Wapinzani wenyewe.
Wana-CCM ni bora wamtake Bashe ajiuzulu ubunge maana alikuwa akijigamba (kama alivyofanya Edward Lowassa kuwa) kuwa, hawezi kuhama CCM. Anakumbusha jinsi Lowassa alivyowaambia wana-CCM kuwa, wanaotaka ahame CCM wahame wao.
 
Wabunge kazi yao ni kutunga sheria na kuisimamia serikali! Tatizo la wabunge wa ccm wanataka kila wakiamka waitete na kuisifia serikali hata kwa mambo hayafai! Sasa ikitokea mmoja kutoka miongoni mwao mwenye mawazo tofauti na wao anaonekana eidha anatumiwa na wapinzani! Huu ubauzi ambao wameuanzishaga na sasa unawarudi hata wao!
Kwani hawezi kutoa ushauri wake ama kukosoa kupitia utaratibu wa Chama.
Wasomi wengi wanakiri wazi kuwa, Parliamentary System is by far the best linaookuja suala la kuhenyeshana bungeni kati ya Wabunge na Mawaziri. Swali: Afrika imejiandaa kuwa na aina hiyo ya Bunge ambalo (hasa Spika) liko at par na linalotishia Executive muda wote?
Unadhani Waafrika wote ni wajinga kuamua kutumia Presidential System, licha ya kwamba nusu ya makoloni yalikuwa chini ya utawala wa Waingereza wanaotumia Wenstminster Model (Parliamentary)?
 
Back
Top Bottom