Membe hapo anachokitaka ni gawio.....hana kingine ndio maana analilia hiyo deal......na huyo Mo hadi amemlipua unaweza kukuta wana mgongano wa kimasilah
Nani wa kuchukua hiyo hatua? HOSEA hua hahusikagi na marushwa makubwa makubwa kama haya, hua anayapotezeaga tu kama alivyofanya kwenye Richmond, Deep Green, Kagoda, Meremeta, Tangold n.k.Kama pia swala lina Rushwa ndani yake liangaliwa kwa uangalifu na hatua kuchukuliwa!!!!!!!!!!
I support you! Hapa pana ujinga tu wa kumchafua waziri, halafu hivi watu wana fikra za aina gani?? Huyu mama Migiro hana uzoefu wowote wa wizara nyeti humu nchini anaweza kuwa Rais? Nadhani akisimama Slaa na Migiro, nitampigia Slaa.hapa mpango wa kumchafua Membe na kumsifia Asha Rose Migiro umeanza
Nani wa kuchukua hiyo hatua? HOSEA hua hahusikagi na marushwa makubwa makubwa kama haya, hua anayapotezeaga tu kama alivyofanya kwenye Richmond, Deep Green, Kagoda, Meremeta, Tangold n.k.
Mbio za Uraisi CCM hizo dah, wacha wachinjane sie tuchanje mbugahapa mpango wa kumchafua Membe na kumsifia Asha Rose Migiro umeanza
leo nimepita mtaani Dar es Salaam nimeona exchange rate ya US $ inakaribia sh. 1,590/- (1600) ambao itakuwa rekodi katika historia! Kama hamuoni faida za 'mitandao' yenu hiyo inavyofilisi na kuporomusha uchumi wa nchi yetu, na hapo hamjafikiria kuporomoka kwa maadili, endeleeni tu!I support you! Hapa pana ujinga tu wa kumchafua waziri, halafu hivi watu wana fikra za aina gani?? Huyu mama Migiro hana uzoefu wowote wa wizara nyeti humu nchini anaweza kuwa Rais? Nadhani akisimama Slaa na Migiro, nitampigia Slaa.
kazi kweli kweli
Hapa mchezo umeanza ule wa 1995 (mtandao) ninaamini hawa jamaa watamchafua kila mmoja toka chama cha magamba ili mradi siye yule wanaye muunga mkono. Wakifanya mchezo njia nyeupeee kwa wanamageuzihapa mpango wa kumchafua Membe na kumsifia Asha Rose Migiro umeanza
Mtanzania at it again! Lakini bahati nzuri sana na safari hii, gazeti hili "lililojijengea umaarufu na heshima ya kuwabeba mafisadi na kuwachafua maaduai zao" wameibuka na goof ya mwaka. Issue ya conflict of interest hapa inaingiaje? Watch this space! tutawasambaratisha kwa hoja na umma wa watanzania utapata ukweli very soon, siyo hizi malicious porojo!