Meli ya Royal inaungua moto muda huu

Meli ya Royal inaungua moto muda huu

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba inaungua moto baharini muda huu. NIPASHE
 
Meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba inaungua moto baharini muda huu. NIPASHE

Eee Mola wanusuru hawa abiria na hii dhahama iliyowakumbwa
huko Baharini .

attachment.php
attachment.php

attachment.php
 
Yakhe hebu tulia uandike vizuri ni '' BOTI '' au '' MELI'' inayoungua? Maana boti ni kama hii hapa chini ROYAL EXPRESS

 
Ile sio boat ni meli ndio imepata hayo majanga

I know, point yake ilikuwa maji tayari ni fire extinguisher ndio maana nikamuuliza mbona meli inaungua. Hata boat huwa linaungua hivyo umuhimu wa fire extinguisher upo
 
Back
Top Bottom