Meli ya Royal inaungua moto muda huu

Meli ya Royal inaungua moto muda huu

Hawa jamaa WA pemba na unguja nawasikitikia Sana kwa tabu wanazopata za usafiri nawashauri wasisafiri wabaki huko huko kwao huduma zitawafuata kama chakula,mavazi,afya nk
kusafiri kwao Ni kujitafutia majanga
 
I know, point yake ilikuwa maji tayari ni fire extinguisher ndio maana nikamuuliza mbona meli inaungua. Hata boat huwa linaungua hivyo umuhimu wa fire extinguisher upo

Maji siyo fire extingusher. Kuna aina ya moto na kiwango cha joto. Kama moto ni mkali sana, maji yanakuwa ni kama mafuta kwenye huo moto.

Fire extinguisher imetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbali mbali.
 
Hawa jamaa WA pemba na unguja nawasikitikia Sana kwa tabu wanazopata za usafiri nawashauri wasisafiri wabaki huko huko kwao huduma zitawafuata kama chakula,mavazi,afya nk
kusafiri kwao Ni kujitafutia majanga

Watu wote wangekuwa na mawazo kama yako basi kusingekuwa na Wasafiri Duniani, Kila chombo cha usafiri huweza kupata ajali wakati wowote ule!
 
gari la zima moto litafika kweli?

Acha kejeli wewe,pengine kuna ndugu au jamaa yako humo kwenye hiyo Meli,Gari litafikaje Baharini? Badala ya kuwaombea kwa Mungu ili awanusuru wewe unaleta kejeli?
 
Acha kejeli wewe,pengine kuna ndugu au jamaa yako humo kwenye hiyo Meli,Gari litafikaje Baharini? Badala ya kuwaombea kwa Mungu ili awanusuru wewe unaleta kejeli?

pole sana ndugu uliyesalimika na hongera pia.
 
Hahahaaa jecha atafanyaje labda, kuahirisha kuungua mkuu!!!
 
poleni sana abiria, ila kiukweli hii royal naipenda sana, boat inakimbia hatari kilimanjaro anaujua mziki wa royal mashine ina engine za jet.
 
mleta mada jaribu kutofautisha kati ya meli na boat sawa, royal ni boat sio meli
 
poleni sana abiria, ila kiukweli hii royal naipenda sana, boat inakimbia hatari kilimanjaro anaujua mziki wa royal mashine ina engine za jet.

Mkuu wa Mikumi salama? Kumbe ulisalimika Mikumi na Kibajaj chako?! Hahahaaaa😅😂
 
Back
Top Bottom