Mkuu wa Mikumi salama? Kumbe ulisalimika Mikumi na Kibajaj chako?! Hahahaaaa😅😂
jamaa "miyeyusho sana" huyo.
Mkuu wa Mikumi salama? Kumbe ulisalimika Mikumi na Kibajaj chako?! Hahahaaaa😅😂
Hawa jamaa WA pemba na unguja nawasikitikia Sana kwa tabu wanazopata za usafiri nawashauri wasisafiri wabaki huko huko kwao huduma zitawafuata kama chakula,mavazi,afya nk
kusafiri kwao Ni kujitafutia majanga
afadhali wa unguja wanatulia ila wapemba kutwa kusafiri hawatulii kwao