Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Ooh my!iam speechless!
EE Mungu walaze mahali pema peponi waliotutokaPublic Notice: Image shown here earlier has been removed for misrepresentation & copyright violation !
PainKiller, for JF Mgt.
Meli yenyewe ndo hiyo inazama.
Picha kwa hisani ya Ahmed
Nyie watu vipi? Misiba mbona iko kila siku. Msiba unatokea kwenye familia au ukoo na wanandugu wanakuja kutoa pole kisha hao wanaendelea na shughuli zao.
Hii standard ya kusema shughuli zisitishwe kisa msiba imeanza lini?
Naunga mkono kusimama kimya dakika moja kuwakumbuka marehemu, lakini sio kusitiisha shughuli yote.
Watajidai kusimama Dakika moja ili kusali kwa ajili ya marehemu wa hii ajali, halafu after that show inaendelea kama kawaida.
Wako kibiashara zaidi.
MMJ umesema kweli,,mimi naishi zenji Ila kwa vyovyote itakavyotokea mambo yanavyoendeshwa huku ZENJ si serikalini wala kwenye maisha ya kawaida ya jamii yanaendeshwa kwa mazoae sana na usimamizi nimubovu sana. na kwa kuwa imani ya dini ni zaidi ya kila kitu. si ajabu wakakushavyngaa kwa kuhoji hivyo na kukuambia YAHEE MWENYEZI MUNGU KESHA PANGAA HATA KAMA CHOMBO KINGEKUWA KIKONGWE AU KIMPYA HUWEZI ZUIA. wana
Huu ni mtihani kwa Vasco Da Gama pia, tujiulize atarudi?
<br />ww mfitinifu, Jussa alikuwa akizungumza na wazanzibari kwa hio kusema hivyo yuko sawa, na si kosa kwa wakigoma akizungumza na wakigoma akawatumia kigoma na sio haipendi Tanzania au wakikutwa na majanga Chadema na kutumia wanachadema