Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 437
Hatutaisha kwa jina la YESU KRISTO, wasioliamini jina hili hakika wataisha
mix with yours
Isije kuwa tunatolewa KAFARA NA WANASIASA
Mungu hazui watu kufa, kwani mtu afaye katiba Bwana yu aishi. maisha ya duniani yanakoma lakini anapata maisha ya milele.
Hivyo hata kama unamwamini MUNGI vp, matatizo ya kibinadamu bado yatakuwepo lakini amwaminiye katika roho na kweli ana faraja kubwa mno baada ya maisha ya dunia kumalizika.
hapo kwenye red mkuu tumekosa viongozi wenye akili timamu.
Hivi wewe unajua Meli kweli au una ropoka tu! Taingia siku ya ajali ya Unguja nikuambia hakuna meli ilizama ni boti (Ferry) leo tena unakuja na porojo eti Meli imezama Tanga, Meli gani ina mabaharia saba?
Isije kuwa tunatolewa KAFARA NA WANASIASA
kuna meli ya mizigo inaitwa Sarobo imezama Tanga asubuhi hii ya leo ilikuwa inatoka Tanga kwenda Pemba..mabaharia saba walikuwa ndani ya hiyo meli wamepatikana salama..
kama kuna mtu mwenye more details kuhusu hili tukio tupeane updates...
sina hakika na hilo jina la meli/boti may be nimekosea spellings tutawiana tadhi
source:JF
my take: kama viongozi wetu wangekuwa wastaarabu wanegoa tamko la kuvikagua vyombo vyote vya majini na liseni zao..nashangaa hadi sasa hivi wapo kimya
Thanks for update na tungoje kusikia chanzo cha ajali ni nini. Naamini kuna haja ya kufanya ukaguzi wa kina wa vyombo vya majini
Simaanishi hivyo....!!mwakani tuache kuomba:frown:
What!!!!!!, meli ya mizigo ya zama Tanga!! It is unbelievable!