Meli ya mizigo yazama Tanga

Hatutaisha kwa jina la YESU KRISTO, wasioliamini jina hili hakika wataisha

mix with yours


Mungu hazui watu kufa, kwani mtu afaye katiba Bwana yu aishi. maisha ya duniani yanakoma lakini anapata maisha ya milele.

Hivyo hata kama unamwamini MUNGI vp, matatizo ya kibinadamu bado yatakuwepo lakini amwaminiye katika roho na kweli ana faraja kubwa mno baada ya maisha ya dunia kumalizika.
 
Mungu hazui watu kufa, kwani mtu afaye katiba Bwana yu aishi. maisha ya duniani yanakoma lakini anapata maisha ya milele.

Hivyo hata kama unamwamini MUNGI vp, matatizo ya kibinadamu bado yatakuwepo lakini amwaminiye katika roho na kweli ana faraja kubwa mno baada ya maisha ya dunia kumalizika.

Ungesoma between lines ungeona aliyesema (niliyemjibu) ' tutakufa mwaka huu' alidai kuwa ni mwaka wa kafara kwa ajili miaka hamsini ya uhuru .....NASISITIZA WANAOMWAMINI YESU KRISTO HAWATAKUFA KWA KAFARA KWA VYOVYOTE VILE' wasiomwamini kazi kwao......

mix with yours
 
Hivi wewe unajua Meli kweli au una ropoka tu! Taingia siku ya ajali ya Unguja nikuambia hakuna meli ilizama ni boti (Ferry) leo tena unakuja na porojo eti Meli imezama Tanga, Meli gani ina mabaharia saba?

Muhimu ujumbe kufika......gari ikipata aali yaweza kuwa basi,lorry.bajaj nk.....na meli pia haijalishi ni mtumbwi,ngarawa,feri,boti,jahazi,chombo,tishari.....kwetu sisi zote ni meli
 

Isije kuwa tunatolewa KAFARA NA WANASIASA


Pole sana maana umegundua kuwa uko targeted kuwa marehemu mtarajiwa kwa kafara za wanasiasa.......
Hesabu 23:23 ' Hakuna uchawi wala uganga juu ya wanaomwanini YESU KRISTO' karibu sana shemeji yangu 'mzee wa rubisi katika ufalme wa uzima.......huku kiu ya rubisi itakoma utakunywa maji ya uzima'

mix with yours
 
Hii ndio shida ya mheshimiwa nchi imemshinda so kila mtumishi anafanya anavyojua/anavyotaka ndio matokeo hayo....na tutazama wote mwaka huu ndio tukome
 
Nahisi sasa kila kitu kimepoteza mwelekeo kuanzia serikali baadhi ya taasisi zake na hadi vyombo vya usafiri, vyombo vya usafiri vya majini vinazama, barabarani ajali kibao, ndege huko Mbeya imeanguka waswasi wang nI KWAMBA SERIKALI NAYO PIA IKO NJIANI KUPATA AJALI MBAYA aidha kuzama, kuanguka au kupinduka na kuteketeza maisha ya watu. Ni muhimu kuchukua hatua mapema japo tumechelewa miaka Hamsini si haba.

kuna meli ya mizigo inaitwa Sarobo imezama Tanga asubuhi hii ya leo ilikuwa inatoka Tanga kwenda Pemba..mabaharia saba walikuwa ndani ya hiyo meli wamepatikana salama..
kama kuna mtu mwenye more details kuhusu hili tukio tupeane updates...
sina hakika na hilo jina la meli/boti may be nimekosea spellings tutawiana tadhi
source:JF
my take: kama viongozi wetu wangekuwa wastaarabu wanegoa tamko la kuvikagua vyombo vyote vya majini na liseni zao..nashangaa hadi sasa hivi wapo kimya
 
ukosefu wa uhuru kwa vyombo vya umma kufanya majukumu yao kwa kuzingatia maadili ya taaluma na kazi na badala yake siasa zinaingilia kwa kushurutisha ulegevu wa sheria kwa manufaa ya wamiliki ambao wengi wao ndo waishika siasa ya nchi hii..... tafakari..... hatua madhubuti zichukuliwe sasa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom