Meli kubwa zaidi duniani Freedom Ship

Meli kubwa zaidi duniani Freedom Ship

Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,Hivi inawezekana meli iwe na wafanyakazi 3000 kwa abiria 6000,ina maana kila mfanyakazi anahudumia abiria wawili,nadhani sio kweli haiwezekani meli iwe na wafanyakazi wengi hivyo,ina maana meli imejaa wafanyakazi tu?
Wewe na wenzio mnaobisha idadi ya wafanyakazi kwenye hio meli ni dhahiri hamjui CRUISE SHIPS zikoje. Humo ni kama kijiji cha starehe. Kuna madisco theque,movie theatre,ball room,posh restaurants,bars,clubs,shopping malls etc sasa hivyo vyote vinawafanyakazi unategemea kutakuwa na wafanyakazi wangapi meli nzima? Kuna live bands,wacheza sarakasi yaani kuna wafanyakazi wengi tu.
 
View attachment 350708 View attachment 350709 View attachment 350710 View attachment 350711 View attachment 350712 View attachment 350713 View attachment 350714 View attachment 350715 View attachment 350716 View attachment 350717 View attachment 350718 View attachment 350719 View attachment 350720 View attachment 350721 View attachment 350722 View attachment 350723 View attachment 350724 View attachment 350725 View attachment 350726 View attachment 350727
Pichani juu ni taswira za meli hiyo kubwa kuliko zote duniani.

KAMA ulishawahi kuonana na meli kubwa duniani kisha ukalidhika kwamba hakuna nyingine kubwa zaidi ya ulizoziona. Utakuwa unajidanganya!

Meli ya 25 inayomilikiwa na Kampuni ya Royal Caribbean International fleet inasemekana ndiyo meli kubwa kuwahi kutokea duniani kwa sasa kuliko meli zote. Watengenezaji wa meli hii waliyoiita Harmony of the Sea wanasema imechukua miezi 32 kuijenga.

Watengenezaji wa meli wamesema hii ndio meli kubwa zaidi duniani itakayokuwa ikibeba abiria. Meli hii imepewa jina la Harmony of the Seas. Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780, kwa wiki kutembea na hii meli ni £900 kwa mtu mmoja, ila kwenye eneo la bata ni £2,760 kwa mtu mmoja.

CREDIT: Andrew Carlos/Global chanzo.Shuhudia picha 17 meli kubwa duniani kwa sasa

Zikizama zitakuwa kama ile 'titanic'
 
Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,Hivi inawezekana meli iwe na wafanyakazi 3000 kwa abiria 6000,ina maana kila mfanyakazi anahudumia abiria wawili,nadhani sio kweli haiwezekani meli iwe na wafanyakazi wengi hivyo,ina maana meli imejaa wafanyakazi tu?
Huwa ni kawaida sana kwa cruisers kuwa na wafanyakazi wengi. Kama uko Dar mkuu fuatilia ikija moja hata ndogo bandari ya Bongo uje ushuhudie. Na ningekufahamu ningekutafuta na pengine kama una bahati tunaweza hata kwenda hata nje kuipokea na ungeijua vizuri. Usije ukadhani usichokijua basi hakipo duniani.
 
Inawafanya kazi 3,000,inauwezo wa kuchukua abiria 6780,Hivi inawezekana meli iwe na wafanyakazi 3000 kwa abiria 6000,ina maana kila mfanyakazi anahudumia abiria wawili,nadhani sio kweli haiwezekani meli iwe na wafanyakazi wengi hivyo,ina maana meli imejaa wafanyakazi tu?
hasara
 
Sio kweli hivi inaweza kuipita mv kigamboni kweli hebu acheni masihara bhana
 
Hivi unaelewa maana ya meli kitalii? Au ndo ilimradi tu umeamua kuchangia
 
Sio kweli hivi inaweza kuipita mv kigamboni kweli hebu acheni masihara bhana
Ahahahaha kwekwekwe kwikwikwii. Nimecheka jamani khaa. Wee labda tuifananishe na Mv. Dar ile ya kwenda Bagamoyo ambayo watu wanaogopa kuizungumzia maana ni kajipu flani hivi ila kamekaa pabaya
 
Freedom Ship
City at Sea

Envision an ideal place to live or run a business, a friendly, safe and secure community with large areas of open space and extensive entertainment and recreational facilities. Finally, picture this community continually moving around the world. You are beginning to understand the Freedom Ship concept of a massive ocean-going vessel. With a design length of 4,500 feet, a width of 750 feet, and a height of 350 feet, Freedom Ship would be more than 4 times longer than the Queen Mary. The design concepts include a mobile modern city featuring luxurious living, an extensive duty-free international shopping mall, and a full 1.7 million square foot floor set aside for various companies to showcase their products.

Freedom Ship would not be a cruise ship, it is proposed to be a unique place to live, work, retire, vacation, or visit. The proposed voyage would continuously circle the globe, covering most of the world's coastal regions. Its large fleet of commuter aircraft and hydrofoils would ferry residents and visitors to and from shore. The airport on the ship's top deck would serve private and small commercial aircraft (up to about 40 passengers each). The proposed vessel's superstructure, rising twenty-five stories above its broad main deck, would house residential space, a library, schools, and a first-class hospital in addition to retail and wholesale shops, banks, hotels, restaurants, entertainment facilities, casinos, offices, warehouses, and light manufacturing and assembly enterprises. Finally, this concept would include a wide array of recreational and athletic facilities, worthy of a world-class resort, making Freedom Ship a veritable "Community on the Sea."

freedom-ship-10-billion-floating-city-super-rich.jpg

The ship's design would accept up to 40,000 full time residents, 30,000 daily visitors, 10,000 nightly hotel guests, and 20,000 full time crew. This population of 100,000 people provides a wealth of talent and diversity for the private businesses aboard the ship and to those they visit daily on their adventures ashore.
 
Maana yake inabeba wa hongkong wote na nafasi inabaki maana wapo mil 5 tu.Hii si meli kwangu ni nchi au kisiwa kinachotembea

Mkuu nafikiri umesoma vibaya, sio watu Milion 5 ni watu Elfu 5.
 
Back
Top Bottom