Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,189
- 1,307
Imepewa daraja la kuwa meli kubwa zaidi dunian badala ya Oasis of the Seas ambazo zoe zimengenezwa na kampuni ya Royal Caribbean International. Wanasema ina urefu wa 362m sawa na ukubwa wa viwanja vinne kasoro vya mpira wa miguu, ina robot bar tender na vinginevyo vingi sana