Kuna Episode moja ya kipindi cha "Pole to Pole" ya Michael Palin, anaonyesha alivyosafiri kutoka North Pole mpaka South Pole, akapitia Lake Tanganyika, nafikiri hiyo meli ni MV Liemba, wanaionyesha mpaka jinsi inavyopandisha watu kiholela, ilivyochoka, it is a disaster in waiting to say the least.