Meksel Square. Junction isiyokuwa na taa za kuongozea magari

Meksel Square. Junction isiyokuwa na taa za kuongozea magari

Hii kali, hiyo sehemu ipo kweli au ni manjonjo tu?

Tiba
 
mmmh! Bulldog hivi kale kagari nilikopewa zawadi ya harusi ninaweza kuthubutu kupita nalo hapo!!
 
Last edited by a moderator:
Hii kali, hiyo sehemu ipo kweli au ni manjonjo tu?

Tiba

hio ni kama pale selander ali h. mwinyi/kinondoni/kenyata drive umeme ukikatika na kukiwa hamna traffic police,ila kwenye hii video wame fast foward ndio maana inaonekana hatari
 
Kwa kuangalia tu jamaa ustaharabu wanao wanapishana kwa zamu na sio kwa haraka kama inavyoonekana pichani
 
Kama sisimizi vile wakiwa kwenye shughuli zao za kila Siku
 
Ipo mkuu, just itafute wikipedia

Hivi rate ya road accident kwenye hiyo sehemu ikoje? Je kuna sababu za msingi ni kwa nini hawaweki traffic lights?

Tiba
 
Hivi rate ya road accident kwenye hiyo sehemu ikoje? Je kuna sababu za msingi ni kwa nini hawaweki traffic lights?

Tiba

Ngoja nigoogle
 
mwanzoni nilikuwa sijaona!kumbe hata waenda kwa mguu wanapita humo humo!!huko hata kutembelea siendi aiss,siko tayari kufia ugenini!

Huwezi mkuu, mara moja sio mbaya
 
Back
Top Bottom