James alamba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 216
- 106
Anaweza ongeza kwa bajeti ya 2018/2019hevi hata mambo ya bajeti hamfuatilii?
Anaweza ongeza kwa bajeti ya 2018/2019hevi hata mambo ya bajeti hamfuatilii?
Alafu wapumbavu wachache watapiga makofiLeoo utasikia serikali ina mpango wa kuajiri wafanyakazi 49000..
Watz..Makofi na nderemo
Utekelezaji ...haupo na hakuna wa Ku hoji..
subiri meimosi ya mwisho kabla ya uchaguzi ndo kutakua na chochote cha maana.Anaweza ongeza kwa bajeti ya 2018/2019
AmenLeo Ninayo Amani Sana Rais Wetu Atatamka Neno Roho Zetu Zipate Kupona
Alafu wapumbavu wachache watapiga makofi
Sawa usalamaNdo naingia uwanjan hapo kuchek hali ya usalama kisha baba aingie uwanjan tumsikilize rais atasema njni
Katiba ipi tena mkuu? Katiba si tayari bado kupigiwa kura tu.Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
Hata akiongea kitu kipya Leo shida inakuja kwenye kukiamini.Maana anaweza ongea utekelezaji ukawa sifuriKila mtanzania mwenye akili timamu anaweza kutabiri (predict) hotuba ya mkuu. Ndo tutambue tuliingia chaka 2015. Rais wa nchi anayejitambua na anayejali wananchi wake kwenye matukio kama haya kila mtu angekuwa na hamu kusikia ataongea nini, na hakuna anayeweza kupredict kirahisi. Ila huyu wa kwetu mwepesi sana.
Utasikia, tumeibiwa vya kutosha.... Haiwezekani Iringa yenye mbuga ya Ruaha iwe tegemezi, Mimi ni Rais wanyonge....
Shida jamaa anaendekeza sana siasa.Mkwere alikuwa Mzee wa porojo lakini hamfikii Mkulu Kwa porojo hata roboKwani lazima kumualika
Oooh ndio maana Dadi Igogo akanunuliwa so leo ndio sherehe ya kumpa kadi
Serikali wanacreate problem halafu wanajifanya kusolve.2019 watapunguza hilo au hata mwaka huu halafu tutawasifu wakati hilo janga wmeleta wao wenyeweMlioko uwanjani muambieni mkulu akumbuke kupunguza yale makato ya bodi ya mkopo elimu ya juu, yamekua mwiba.
Tunamsikiliza kama kiburudusho tu kwakuwa leo hatujaenda kazini so tunmpumzikia brother k wetuHivi watu bado mnakaa kumsikiliza na kumuamini huyu bichwa nanasi Magufuli kwa porojo zake anazoongea kuhusu wafanyakazi? Huyu hana jipya atakalofanya kwa watumishi wa umma
2020 hawezi piga push up hata mbili.Hata hivyo wabongo sio wa kuwaamini kabisa 2020 watasahau shida zoteKama Magufuli kahudhuria, watarajie fix za kuongezewa mshahara, na ajira elfu 45,300. Rais wangu sijui ataacha Uongo lini. Anyway namsuburi kwenye Sanduku la Kura 2020. Sijui atapiga Pushup tena, sijui atanionyesha miradi aliyozindua ambayo kiuhalisia ni miradi ya JK...ngoja tu