Mei 28, 2015 ni Birthday ya CHADEMA; inatimiza miaka 23

SACCOSS IMEKUWA SASA TUJISIFU KWA HILO ILA HUYU AACHE UROHO ATUACHIE NA SISI

  1. 1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
  2. 1988-2003. M/kiti Bob Makani
  3. 2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
  4. 2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
  5. 2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe
 
Unapopongezwa kwa umri huo ukubali pia kufanya tathmini ya vitu vingi sana. Ukitaka kujua uzuri na ubaya wa mtu muulize juu ya mapato na matumizi yake. Utapata porojo nyingi sana na magumashi juu. Unapomuombea mwenzako njaa jua na wewe ipo siku utaombewa njaa tuu. Najua vyama vya siasa vinapata ruzuku pamoja na vyanzo vyao vingine vya mapato. Niwaulize nyie wapiga kelele, ni lini vyama vyenu vya siasa viliwasomea na kutoa mihutasari ya mapato na matumizi? ama kukaguliwa na Mkaguzi wa nje ya ofisi yenu kuangalia mwenendo wa fedha ulivyo?
 
nimekusoma tangu mwanzo , nilichogundua ni kwamba umeamua kujifedhehesha bila aibu , umelogwa na nani ?

Wewe ni Mgalatia na wala hujui aliyekuroga endelea kushabikia uozo!!!kama unabisha kamuulize CAG na ile hati ya MASHAKA ALIYOITOA MEI 2015.
 
Miaka 23 bado unasindikiza tu na mwaka huu baada ya Oktoba ndo kifo
cha UKAWA maana umeundwa purposely kuwasaidia kwenda deep sea mkajifie!!
miaka 51 bado unaishi nyumba ya makuti (eti utamaduni)!! miaka 51 bado mnaongea habari visima!! ptuuuuh!!
 
Miaka 23 hata ofisi yetu tunayomiliki hakuna? Hata gazeti la CHAMA hatuna? Hata radio FM moja tu hatuna? Sioni cha kujivunia na CHAMA changu hiki
 
miaka 51 bado unaishi nyumba ya makuti (eti utamaduni)!! miaka 51 bado mnaongea habari visima!! ptuuuuh!!

Ha ha ha ha jamani kuna wachangiaji kweli wanaudhi hivi ni kweli ua on the way to deep see to be buried by UKAWA!!,
 
1994 nilibahatika kujiunga naChama pekee chenye demokrasia ya kweli Uhuru wakweli na mabadiliko ya kweli toka wakati huo tulitawaliwa na CDM karatu ilipata maji kaviwasu mmaji ambayo upatikanaji wake ulikuwa mgumu 2sekondari ilikuwa moja wilaya haikuwa na Hosipitali
sasa sekondari zimezagaa karatu maji yanatiririka Lila kona .Wanafunzi wanasoma hatakama mzazi hana uwezo hakika CDM no chama pekee cha maendeleo+Ukawa uhakika wamaendeleo ya mnyonge/Ewe Tanzania uliye maskin mkombozi huyo CDM DR.WILBROD SLAA awe Rais wetu huyo nikimbunga tenakumbakumba ccm wabaki wakishangaa wameangusha hadhi ya Taifa :Shukrani kwa viongozi mbali mbali walioianzisha CDM akiwemo muasisi Mzee Edwin Mtei hatimaye Mbowe anayeipaishaCDM kamaMwenyekiti ktk nyanja za siasa iliyo bora:kwa ujumla karatu inwashukuru waanzilishi wa CDM 1992-2015 nihatua kubwa
kisiasa name kimendeleo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom