donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Usishangae ukaambiwa wamehamua kuona wenyewe...huko duniani kuna mamboWakaka wazuri kama pesa. Wako nchi gani nikawaombe mbegu?
HahahItabidi waoe mapacha
Hahaj, mweh. Unataka uoteshe mbegu?Wakaka wazuri kama pesa. Wako nchi gani nikawaombe mbegu?
Wako Netherlands mkuuWakaka wazuri kama pesa. Wako nchi gani nikawaombe mbegu?
Hahaha, eti kama unaenda jogging. Mbona hata nyie sometimes mnazinguA, ndo yale unakuta mtu kaulamba mchupi kama wa nandyWanaume wa hivi hata akikutukana na kusema we kabaya nalia kwelii maana wazurii ,wanajua kuvaa sio mtu unaenda onana umevaa kama unaenda jogging mweeee
Ila hawamfikii G wangu ni noooumaaaaa
Yaan acha tu kazi ipoHahaha, eti kama unaenda jogging. Mbona hata nyie sometimes mnazinguA, ndo yale unakuta mtu kaulamba mchupi kama wa nandy
Wazuri wanavutia kuwala [emoji23][emoji23]
Mweh? [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wazuri wanavutia kuwala [emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mweh? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mbegu ya nini unaomba wakati nyumbani hapa kuna mbegu za kienyeji za kutosha?Wakaka wazuri kama pesa. Wako nchi gani nikawaombe mbegu?
All pics ni the same and no, they are straight dudes mkuumbona hao wa kwenye picha ya kwanza,wana viashiria vya ushoga
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Hahaha, eti kama unaenda jogging. Mbona hata nyie sometimes mnazinguA, ndo yale unakuta mtu kaulamba mchupi kama wa nandy