Meet Apple M1 Ultra

This is 2 M1 Max connected together.

Up to 128 gb of unified memory.
20 core CPU
64 core GPU

8x faster than M1.

View attachment 2144426
Intel arudi tena mezani maana Apple kwasasa anagonga nzi kwa nyundo.
Na anasema kabisa bado transfer ya kuhamia kwenye chip zao haijaisha bado kuna imac pro ambayo inasaidikika itakuja na toleo jipya la chip ambayo ni powerful kuliko hiyo
 
Intel arudi tena mezani maana Apple kwasasa anagonga nzi kwa nyundo.
Na anasema kabisa bado transfer ya kuhamia kwenye chip zao haijaisha bado kuna imac pro ambayo inasaidikika itakuja na toleo jipya la chip ambayo ni powerful kuliko hiyo
So far, intel is playing a catch up game.
 
So far, intel is playing a catch up game.
Intel anaelekea kupoteza kwanza hicho kiwanda anachojenga cha kutengeneza chip kinakuja implement tech ambayo TSMC wameitumia.miaka 5 iliopita na washahamia kwenye tech mpya na kumbuka TSMC ndie anatengeneza chip za apple
 
So far, intel is playing a catch up game.
Intel arudi tena mezani maana Apple kwasasa anagonga nzi kwa nyundo.
Na anasema kabisa bado transfer ya kuhamia kwenye chip zao haijaisha bado kuna imac pro ambayo inasaidikika itakuja na toleo jipya la chip ambayo ni powerful kuliko hiyo
You guys are not serious

Kwenye reviews za Alderlake kitu pekee cha perfomance ambacho Apple alikua juu ni kutransfer pdf, benchmarks zote kaachwa mbali


Na M1 ultra ni dual Cpu yaani ni M1 max mbili zimejumuishwa pamoja, kwenye windows pia unaweza fanya hivi zipo motherboard za Dual cpu na Dual gpu. Unaweza tengeneza machine kwa bei chini ya dola 5000 ikawa na nguvu hata mara mbili ya m1 ultra ukitumia pro cpu kama Milan ama hata Consumer cpu kama Ryzen 5950x ama i9 12900K.

 
Intel anaelekea kupoteza kwanza hicho kiwanda anachojenga cha kutengeneza chip kinakuja implement tech ambayo TSMC wameitumia.miaka 5 iliopita na washahamia kwenye tech mpya na kumbuka TSMC ndie anatengeneza chip za apple
10nm ya Intel ni superior kuliko 7nm ya TSMC, ila 5nm ya TSMC ni superior kwa 10nm ya Intel.

Hivyo si kweli kwamba intel yupo 5 year Behind just one generation.

Hivyo sitashangaa 7nm ya intel ikiwa sawa na 3nm ya Tsmc.
 
Mkuu Apple anampiga intel kwenye game lake huku chip zikitumia power kidogo.
Yes m1 ultra kaunga chip mbili so double cpu and double gpu lakini implimemtation yake imekuwa tofauti na effective zaidi ya hiyo unayosema.
By the way watu wanasubiri more reviews watakapoitumia.
Chief kama Apple hajachange hili game kwanini intel alipotoa processor yake latest alikuwa anaicompare na processor ya apple m1 akidai inaipita?
Tena hata hivyo intel processor yake ya mwisho ilifanikiwa kufanya hivyo kwa kutumia power kubwa sana compared na m1 chip
 
Mkuu ni kawaida kwa kampuni yoyote ikizindua processor kucompare na wapinzani. Jana pia Apple si ame compare na Intel?

Na ni kweli M series zinatumia umeme mdogo compare na Alderlake ila walichozindua jana ni desktop, does it matter kama kama moja inatumia watts 100 na nyengine 200 as long as moja ina nguvu zaidi.

Kumbuka cpu yenye nguvu inamaliza task mapema hata kama inatumia umeme mwingi in reality inaweza ku consume kiasi kidogo cha umeme.

Mfano angalia hii test ya Kurender video handbrake yenye urefu wa lisaa limoja.



Cpu ya Intel hapo imekuwa limited kwa 75W umeme na imetumia dakika 23.5

Inamaana itatumia watts 29.375

M1 pro inatumia umeme mdogo zaidi 40W ila inatumia muda mwingi dakika 39.6

Inamaana total power ni watts 26.4

Hivyo kwa hio task Intel itatumia watts 3 zaidi na utakuwa umesave dakika zaidi ya 10.

Task ambazo zina limit ya muda kama vile kuangalia youtube ndio unapata real advantage
 
Je hii chip mpya iliyoungwa, maana wanadai unaweza kutazama video simultaneously za 4k sijui 6k kwenye screen 8+
Kinachofanya apple chips zake ziwe bora, ni power efficiency na amekuwa tishio kwa muda mfup maana intel has been leading the game kwa miaka mingi. Progress ya apple ya muda mfupi sana
 
Kwenye windows unatumia dedicated Gpu, sababu M1 ultra ina dual gpu compare it na Rtx 3090 mbili. Rtx moja ina uwezo wa kudrive monitor 4 za 4k pia.

Mkuu M1 ni Arm architecture ni same cpu kama inayotumika kwenye iphone ambayo Apple anatengeneza zaidi ya miaka 10 sasa. Alichofanya ni kuanza tu kuitumia kwenye Computer thats why inakula umeme mdogo.

Na sababu ni cpu ya simu ina limitation kibao ikiwemo uwezo wa ku upgrade. Kila kitu kwenye vifaa vya M1 kimeungwa humo humo kama simu.

Na haina Tishio lolote kwa Intel sababu Apple ana Ecosystem yake na Intel ana yake pia,

Angalia marketshare hapa

Mwaka juzi mwishoni 2020 wakati M1 inatoka Apple alikuwa na 8.7% Marketshare na mwaka Jana mwishoni Marketshare ya Mac imeshuka hadi 7%, ina maana Vendor wengine kama HP na Dell mauzo yao yanakua Zaidi kuliko Apple kwa lugha Nyengine Intel na Amd zimefanya Vizuri zaidi kwa kipindi hicho ma M1 imefeli kuteka Soko.

Hio M1 ultra ikiwa na hio 64 ni kama $5000 hivi wangapi wapo tayari kutoa hio Hela?
 
Yes najua ni arm achitecture windows alijaribu kuleta arm kwenye pc kitambo but mambo hayakwenda sawa but apple kaweza na intel na samsung au kati amd na samsung they are trying to do the same.
Yes ni $5000 lakini nilikuwa natazama mrwhosethebowse kaonyesha imac ambayo inapitwa na hiyo mac min pro yenye m1 ultra na iliuzwa ela ndefu sana zaidi ya hiyo $5000
Bado hata pc zenye intel intergrated gpu zinachemka sana kwasababu ya power consumption. Kuna comparison nliona intel i9 ikiwa inafanya same task sawa na m1 ilikuwa inarun at 130 watts wakati m1 ina run at 40watts
 
Mkuu alderlake ina scale vibaya mno. Same cpu inaweza ikatumia umeme kidogo na cpu hio hio inaweza kula umeme, link hio hio ya juu kuna hili graph



At same power kwenye watts 40 m1 pro na i7 12700H zina perfomance moja, ila alderlake ina uwezo wa kwenda hadi watts 100 na kukupa perfomance zaidi.

Na hizo imac wanazo compare most of them ni za kizamani unakuta zinatumia gen za nyuma na sio cpu za kisasa kama Alderlake ama Ryzen 5000 series (zen 3)
 
Intel anaelekea kupoteza kwanza hicho kiwanda anachojenga cha kutengeneza chip kinakuja implement tech ambayo TSMC wameitumia.miaka 5 iliopita na washahamia kwenye tech mpya na kumbuka TSMC ndie anatengeneza chip za apple
Kwamba Intel wao hawajui ila wewe unajua yasiyojulikana na Intel

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa na mpango wa kununua M1 Macbook pro 16GB RAm , zilizo toka mwanzoni 2020 kwa issue za vodeo editing, na DAWs ~ music production..., je itakuwa ni good investment?
 
Kwamba Intel wao hawajui ila wewe unajua yasiyojulikana na Intel

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kujua na kutojua TSMC amekuwa akiundwa 7nm chips kwa muda wakati intel bado anahangaika nazo. Yeye katangaza kuanza production na tsmc anahamia chip ndogo zaidi.
Siku hizi haya mambo ni sawa na mashindano ya mpira.
Ikitolewa bidhaa inachambuliwa inajaribiwa na watu kibao hivyo sio siri. Ndio maana watu wananunua vitu wakiwa na infos za kutosha kwasababu watu wanakuwa wamesha review bidhaa since zilipozinduliwa day 1.
 
Nilikuwa na mpango wa kununua M1 Macbook pro 16GB RAm , zilizo toka mwanzoni 2020 kwa issue za vodeo editing, na DAWs ~ music production..., je itakuwa ni good investment?
Kwa video editing ndio ni nzuri.
 
Ila mkuu intel na Tsmc wanahesabu tofauti sababu ya intel inaitwa 10nm na Tsmc ni 7nm haimaanishi ya tsmc ni superior. 10nm ya intel ni superior kidogo kwa 7nm ya TSMC na na 5nm ya TSMC ndio imepita 10nm ya Intel. Hivyo 7nm ya Intel inaweza kuwa on par with 5nm ama hata 3nm ya Tsmc.

Hii size ya transistor na node density



Source hapa

Na hata Hio 7nm na 5nm ya Tsmc bado intel ameonesha uwezo wa process yake ku scale.

Mpaka sasa M1 ya Apple na Ryzen za Amd hazina uwezo wa kuscale vizuri na power, tutumie graph la juu



Hapo i7 12700H katika 35W imeanza vizuri na ryzen 5900H wote wapo Around 10k mpaka 12k kwenye cinebench score, the more zinavyotumia umeme zaidi unaona zinavyoachana ukifika 75W hapo tayari Intel amefika zaidi ya 16000 na Amd yupo chini ya 14,000 na Amd kaishia hapo, Intel anaendelea zaidi hadi karibia watts 100 na score karibia 20,000.

Hivyo hio process node si cha mtoto mkuu, na cpu za Alderlake zinakuja na power level configuration kwenye Bios means kilaptop chako cha bei rahisi siku una mishe mishe unaset power level 1 inakula umeme mdogo na perfomance ya kawaida siku upo na kazi ya maana unaseti power level 2 inakula umeme zaidi na perfomance kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…