Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,656
- 18,529
Hatuna walimu huru wa pure meditation... Wengi wako associated na sect za dini zisizomtambua Mungu... Hivyo ukimpata mmoja angalia cha kuchukua na angalia cha kuacha... Pale Mindu street Upanga kuna temple ina Sunday meditation retreats unaweza kwenda hapoNaombeni mwalim wa hii kitu
Ni mbaya sana kwakuwa jinsi unavyozidi kuwa deep ndio unazidi kugain supernatural powers na ndio mwanzo wa Kuanza kuhoji uwepo na uwezo wa Mungu
Nieleweshe hapa, kwa mfanya mediation huwez kuwa na tamaa ya hivyo vitu kivipi?Self realization ni kitu kikubwa na muhimu sana... Kujitambua na huu ndio wokovu katika ukristo.... Kila kitu chini ya jua unaona ni ubatili mtupu na unajiona kabisa wewe sio sehemu yake kwakuwa ushatakasika hivyo havikuhusu wala kukusumbua
Mwanajamii mwenzetu mmoja aliomba nimfundishe meditation ya kupata UTAJIRI wa Mali.... Alikuja kucheka mno alipokuja kugundua kuwa mwanzo wa meditation ndio mwanzo wa kujinasua na dunia ya matamanio....
Matamanio ya kupata pesa nyingi
Matamanio ya kupata vitu vingi vizuri na vya gharama
Matamanio ya kula na kula vizuri
Matamanio ya kutimiza haja za mwili nknk
Nahitaji kuijua mediation nahitaji hilo somo nianze ku practiceKabla sijaanza kufanya meditation ingawa ninatumia Maombi; nilikuwa na wasiwasi, uoga kiasi, mapigo ya moyo kwenda kasi, hasira, uzinifu na mengine mengi. Haya na mengine mengi kama chuki, usengenyaji, dharau, husuda, ugomvi, uchonganishi, wizi, wivu na zaidi kwa asilimia kubwa hufanywa pia na waumini watumiao MAOMBI.
Nilipoanza meditation nilianza kuwa na huruma, hakuna hasira, kuhisi jambo kabla halijatokea, kuota ndoto zinazokuwa kweli, kuwa jasiri (nilikuwa napita hadi maeneo ya hatari yenye wezi, vibaka, usiku mnene bila wasiwasi), hakuna kuuguaugua. Na mengine meeengi aisee.
Kiufupi, kwangu mimi kwa uzoefu nilioupitia japo sio mkubwa nimeona upo utofauti wa hali ya juu kati ya Maombi pekee na Meditation. Nilipoacha Meditation niliyumba hadi kiuchumi.
Kipindi nafanya sikuwa na tatizo la kiuchumi...nilikuwa nikiishiwa hela nikiconcetrate hata kama nipo ktk daladala siku haitaisha bila kupata ufumbuzi. Ila nilikuwa nikitumia Maombi na Meditation sio kimoja tu. Na sasa nimeanza tena.
Wewe unamuita nani?Nasikia wengine wanakuitaa Agent wa shtn....!
Anaingia kwenye kitu kinaitwa partial meditation.... Angalia sana hata kwenye mijadala watu wanaokaa kimya muda mwingi wanapoamua kuongea...Kuna movie moja ya Antonio Banderas inaitwa Acts of vengeance,kuna muda Banderas anaacha kuongea kabisa kwa muda yani anakuwa kama bubu. Na matokeo ya kufanya hivyo akaongeza uwezo wake wa usikivu,anaweza kusikia sauti itokayo mbali na kwa utulivu.
Hii nayo unaizungumziaje Mkuu Mshana Jr