Meditation sio kwa waamini....

Meditation sio kwa waamini....

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,546
Reaction score
830,111
Unaweza kushangazwa na andiko langu hili.... Lakini huu ndio uhalisia... Meditation sio kwa waamini katika Mungu mmoja mwenye mamlakan na mweza wa yote....!!!!!
Meditation ni kwa wale wasioamini katika miujiza ya kiimani kupitia supernatural powers.... Meditation ni kwa wahojaji wanaosimamia katika pure practice mpaka kuweza kumiliki nguvu za asili na kutenda miujiza... Meditation ni njia ya mwanadamu kutaka kuiga matendo ya Mungu ama kujionesha kuwa naye ana uwezo wa kuweza kutenda kama Mungu...

Ukiwa mwamini mwenye imani thabiti juu ya Mungu na mamlakan yake wala huhitaji kuhangaika na vitu kama meditation kwakuwa tayari umeshaambiwa katika Neno kuwa..... 'Ukiwa na imani hata ya ukubwa wa chembe ya haradari utakuwa na uwezo hata wa kuhamisha milima... Kwa meditation hata umalize stage zote hilo hutaliweza kamwe....!!!

Haradali.. ninini? (Arabidopsis thaliana)
Haradari ni mmea ambao ndio una mbegu/punje ndogo kuliko mimea yote... Lakini yenye uwezo mkubwa wa ajabu wa kupambana na hali zote na uwezo mkubwa wa kufyonza chakula
Kwahiyo kama mwamini hutakiwi kujitesa na mazoezi magumu ya meditation yenye masharti na miiko mingi na ya muda mrefu... Unachohitaji ni IMANI THABITI... imani kipimo cha punje ya HARADALI... ukiliweza hili utafanya yaliyofanywa na meditator guru wa viwango vya juu mno.,..

Kwanini sasa tunafundishana meditation?
Jibu ni rahisi sana.... Kwakuwa hatuna IMANI kipimo cha punje ya HARADALI.... Lakini vilevile si kila mmoja wetu hapa ni mwamini katika Mungu mmoja
Meditation pia ni nzuri kwa afya ya mwili na akili pia... Na kama wewe ni mwamini unaweza pia kutumia njia hii ndefu ya meditation kwa tafakuri za kimungu... Kwahiyo inategemea unaweza vipi wewe mwenyewe kujisimamia

Mimi ni meditator hivyo siipondi meditation... Lakini ukweli ni kwamba kwenye swala zima la
Kutafuta kweli
Kujitambua na elimu ya utambuzi
Self cultivation
Makutano ya kiroho, kiungu nk... Meditation ni sawa na kutembea kwa milonje huku imani ni sawa na kupanda gari.... Ama meditation ni sawa na kutumia njia ndefu wakati imani ikiwa ni kutumia shortcut
 
Naomba unielimishe namna ya kufanya meditation hatu kwa hatua
 
In case you missed it or you don't know mustard seed (HARADALI) here it is....
Grão-de-mostarda.jpg
mostarda-769759.jpg
 
Sasa hatimaye nimekuelewa vizuri zaidi Mshana Jr Bravo maana Mimi nilikuwa ni martial art practitioner katika Muay boran sasa nilikuwa napata wakati mgumu sana wakati wa kusali kwa mungu buddha ila kimsingi tulifundishwa sana nidhamu ya hali ya juu kupita kiasi usipige mtu kabisa hata atukane vipii au afanye nini kibaya zaidi ashike kisu au kurusha ngumi kosa kubwa sana. Japo unafunzwa mambo mengi kama kuitumikia jamii, kufanya kazi kwa pamoja, kuheshimu tamaduni n.k ila tulipofikia katika meditation nilikuwa inanichanganya mnoo kumbe kwasisi tunaoamini kwa Mungu mmoja hii si njema? Ila tulifundwa kiafya inasaidia mnoo na kutengeneza nguvu ukizingatia Muay Boran ni sanaa ya mapambano inayohitaji nguvu hivyo ilifika kipindi hata wanawake hatumani kabisa zaidi ya meditation na Exercises. Asante sana mkuu mshana Jr umeleta majibu ya kitu kilicho nisumbua for long time
 
Faida zake ni zipi kwa upande wa afya?
 
Msingi wa hayo yote ni kwa sababu ya kujiepusha ama kujikinga na KARMA... kwakuwa hizi imani nje ya IMANI ya Kimungu hazijui ama hazitambui kitu kinachoitwa MSAMAHA... Kwao kila jambo lina reversed action... Ubaya utalipwa kwa Ubaya na kwa viwango vyake na wema hivyo hivyo
Na ndio maana kanuni zao kuu ni
Discipline to self state
Respect to all creatures
Loving kindness to all creatures
Positive moral conduct etc
 
Faida zake ni zipi kwa upande wa afya?
Kwendana na sanaa yetu tulifanya meditation ili :

1. Kuweka sana umakini juu ya kile ukifanyacho. kutokana kwamba unapokutana na mpinzani siyo muda wa dhihaka ni kazi. Maana hata sparring zake zinachezwa katika uhalisia.

2. Kukufanya uwe mstarabu inaondoa tabia ya kupanic kwa vitu vidogo tu kuanza kurusha ngumi pia kusamehe kuondoa kinyongo moyoni kuwa mvumilivu mstarabu. Ila ukivuka kiwango cha uvumilivu nadra sana kumtuliza huyu mtu.

Kiafya.

1.Husaidia kuratibu mzunguko wa damu mwilini.

2. Husaidia kuimarisha mfumo wa hewa na mfumo wa usagaji wa chakula.

3. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.

Ila nivitu vinavyohitaji nidhamu ya hali ya juu na ilifikia hatua nikakubali ukiona hawa martial artist kiugomvi kidogo kapanic anaanza mbwembwe hakuna kitu hapo. Kichwa kilicho iva huwa kinajiondokea.
 
Asante kwa somo
 
Msingi wa hayo yote ni kwa sababu ya kujiepusha ama kujikinga na KARMA... kwakuwa hizi imani nje ya IMANI ya Kimungu hazijui ama hazitambui kitu kinachoitwa MSAMAHA... Kwao kila jambo lina reversed action... Ubaya utalipwa kwa Ubaya na kwa viwango vyake na wema hivyo hivyo
Na ndio maana kanuni zao kuu ni
Discipline to self state
Respect to all creatures
Loving kindness to all creatures
Positive moral conduct etc
Nimekupata brother Mshana Jr kwasababu nakumbuka mwalimu wangu aliwahi fanyiwa jambo la dhihaka baya na halifai alibaki anacheka. Jamaa alikuwa anauwezo ana lala pikipiki zinapita mfululizo 10 tumboni nilihisi uchawi alichosema hata Mimi naweza nilikataa alianza kunipa training ilifika hatua nikaanza kuogopa nyumbani watanitenga na kudhani NAPAA (Aisee
 
Ila wanawake ni majasirii mnoo mwalimu alimkuta ndani wife na kijana ambaye alikuwa hafahamiki aliwatazamaa na sijui ilikuwaje alikaa akatuambia twendeni huku kila tukiuliza hajibu na mvua inanyesha mpaka kwake kugonga wife katoka akashtuka mno maana anamfahamu fikaa ninani yule bwana aliingia ndani akawatazamaa sana akamwambia ONDOKA hakuongea kisha na mvua vile vile tukarudi tulipokuwa niliogopa anaweza kutudhuru alichosema haya myaonayo ni MEDITATION.. Hapo nikajifunza KUSAMEHE, UVUMILIVU na HISIA ZA HALI JUU hakupugiwa simu wala kufatwa. Kiufupi yule mama hakufukuzwa alijirudia zake nyumbani. Ila sasa meditation nayo daah kama huruma inakuwa too much au inakuwaje mkuu Mshana Jr..
 
Ni mbaya sana kwakuwa jinsi unavyozidi kuwa deep ndio unazidi kugain supernatural powers na ndio mwanzo wa Kuanza kuhoji uwepo na uwezo wa Mungu
 
Kwa hio Mshana jr meditation ni dhambi?vipi kuhusu Unajimu?je hivyo ndo tunavyo onywa kwenye amri ya 1."Mimi ndimi Bwana Mungu wako,usiabudu miungu wengine"?
 
Ila wanawake ni majasirii mnoo mwalimu alimkuta ndani wife na kijana ambaye alikuwa hafahamiki aliwatazamaa na sijui ilikuwaje alikaa akatuambia twendeni huku kila tukiuliza hajibu na mvua inanyesha mpaka kwake kugonga wife katoka akashtuka mno maana anamfahamu fikaa ninani yule bwana aliingia ndani akawatazamaa sana akamwambia ONDOKA hakuongea kisha na mvua vile vile tukarudi tulipokuwa niliogopa anaweza kutudhuru alichosema haya myaonayo ni MEDITATION.. Hapo nikajifunza KUSAMEHE, UVUMILIVU na HISIA ZA HALI JUU hakupugiwa simu wala kufatwa. Kiufupi yule mama hakufukuzwa alijirudia zake nyumbani. Ila sasa meditation nayo daah kama huruma inakuwa too much au inakuwaje mkuu Mshana Jr..
Self realization ni kitu kikubwa na muhimu sana... Kujitambua na huu ndio wokovu katika ukristo.... Kila kitu chini ya jua unaona ni ubatili mtupu na unajiona kabisa wewe sio sehemu yake kwakuwa ushatakasika hivyo havikuhusu wala kukusumbua
Mwanajamii mwenzetu mmoja aliomba nimfundishe meditation ya kupata UTAJIRI wa Mali.... Alikuja kucheka mno alipokuja kugundua kuwa mwanzo wa meditation ndio mwanzo wa kujinasua na dunia ya matamanio....
Matamanio ya kupata pesa nyingi
Matamanio ya kupata vitu vingi vizuri na vya gharama
Matamanio ya kula na kula vizuri
Matamanio ya kutimiza haja za mwili nknk
 
Back
Top Bottom