Meditation in your daily routine


Shukran sana na hii mada nitazidi ifatilia nielewe zaidi nikikwama nitakujulisha mkuu
 
mi meditation nilijaribu lkn nilikana tamaa baada ya kuo a there is nothn happenin from doing that.....instead ni utilivu tu unaotokana na kutulia and nothn else
 
Wakati mwingine bwana mshana Jr tupe meditation ya kuwa na maakili ya kuunda mandege makombora na mameli makubwa na viwanda vya maroketi itasaidia taifa la kizazi hiki na kijacho hapa Tanzania
 
Wakati mwingine bwana mshana Jr tupe meditation ya kuwa na maakili ya kuunda mandege makombora na mameli makubwa na viwanda vya maroketi itasaidia taifa la kizazi hiki na kijacho hapa Tanzania
Ni lazima kwanza tuache kuipa siasa thamani kubwa na kipaumbele kuliko mambo mengine yote.. Hii ndio msingi wa meditation ya viwanda
 
mkuu mimi nlikuwa nafanya meditation nikaja nilipotezeaga leo nmejaribu ile yakulala baada kama dk 15 iv mguu wakulia ulilushwa kam umepigwa shot nikaendelea lakin mbele zaid mwil upande wakushoto ulivibret kama sekunde 3 iv kama shot imepita namkono wakushoto ulilushwa ghafla. naomba kujua hii imetokana nanini?
 
Zinatokea sana hizo wengine huumwa, kuharisha ama kutoka vipele... Endelea Usiache
 
Nadhani mambo haya mlijifunza kingali ni watoto ndio maana mwapata kuyafahamu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…