Sababu za vegetarians kutokula nyama - JamiiForumsMkuu nimeona katika meditation matumiz ya nyama sio mazuri, hii imekaaje na yapi ni madhara ya kula nyama spiritual
Sent using Jamii Forums mobile app
Beats ziko nyingi na zina maana takeHabari Mkuu Mshana Jr Naomba kuuliza hivi benaural beats zinauhusiano gani na meditation au astral travel maana mazoezi haya yanahitaji utulivu wa kina, Sasa hizo beats zinakelele inakuwaje hapo mku? Naomba kuelewaeshwa
Mm hua nawahi kila jua linapomalizia kuzama nakaa sehem naliangalia Hadi linaishia
Asante Mkuu Sasa kwenye hizo hizo maalum za meditation, zinauhusiano gani au Nini kinafanyika wakati hapo inahitajika utulivu na hizo beats zinaleta mlio/sauti. Naomba kuelewaeshwa mkuu, halafu kwa kuongeza tu mtu akitoka Nje ya mwili tunasikia huo mwili ukishtuliwa ni hatari maana ili silver code inakatika, Sasa akitoka kwa msaada wa beats Ile mwili uliobaki haushtuliwi na beat?Beats ziko nyingi na zina maana take
Kuna za kuamsha hisia
Kuna za kutuliza hisia
Kuna za kuliwaza na kufariji
Kuna za shangwe na furaha
Kuna maalum za meditation
akili yako inaanza kufollow flow ya izo pulse na izo pulse zina specific vibration pattern flan ambapo pinel gland ukitulia itasense iyo vibration sasa apa ndo vibwanga huanzaAsante Mkuu Sasa kwenye hizo hizo maalum za meditation, zinauhusiano gani au Nini kinafanyika wakati hapo inahitajika utulivu na hizo beats zinaleta mlio/sauti. Naomba kuelewaeshwa mkuu, halafu kwa kuongeza tu mtu akitoka Nje ya mwili tunasikia huo mwili ukishtuliwa ni hatari maana ili silver code inakatika, Sasa akitoka kwa msaada wa beats Ile mwili uliobaki haushtuliwi na beat?
mwili utataka kulala apema sanaMm hua nawaho kila jua linapomalizia kuzama nakaa sehem naliangalia Hadi linaishia
Meditation ziko za aina nyingiAsante Mkuu Sasa kwenye hizo hizo maalum za meditation, zinauhusiano gani au Nini kinafanyika wakati hapo inahitajika utulivu na hizo beats zinaleta mlio/sauti. Naomba kuelewaeshwa mkuu, halafu kwa kuongeza tu mtu akitoka Nje ya mwili tunasikia huo mwili ukishtuliwa ni hatari maana ili silver code inakatika, Sasa akitoka kwa msaada wa beats Ile mwili uliobaki haushtuliwi na beat?
Mkuu vipi kuhusu Mantra meditation?Meditation ziko za aina nyingi
Kuna wall meditation ...object meditation
Kuna breathing meditation
Kuna silent meditation
Kuna sex meditation
Kuna death meditation
Si kila meditation inatumia beats
Kuhusu LA astral projection unafanyia sehemu maalum tena chini ya uangalizi
Ni sehemu ya meditation lakini kwa kughani ngoja takuwekea link muda si mrefuMkuu vipi kuhusu Mantra meditation?