mimi nimefanya ni muda mrefu sasa hakuna kitu tofauti nimeona hata ile nuru sijaona zaidi nilitoka vipele usoni na haviishi labda niendelee kufanya tuu au nakosea.?
Mimi kila nki jaribu ku meditate naisi kama.kuna mwanga mweupe una toka kati kati ya macho afu una potea yani ni kama una waka na kuzima shida nini....