Medicine vs Pharmacy

Bro doctor ni kazi toka moyoni sio after money,
ukiwa na tamaaa hutafanya kazi vizuri,
utaishia kushinda ktk duka/dispensary binafsi, kufanya biashara haramu kama kuiba dawa au even abortion kwa watoto wa shule.
change that attitude bro!
 
jamani je mtu mwenye form 4hy-B,biol-C,chem-B,math-B,eng-A...hiyo c ya biology ina effect kwenda medicine.??

Medicine wanaangalia matokeo ya ADVANCE ...! BUT kama unataka kutumia matokea ya O-lveal nadhani itabidi uanze mbali kidogo! kwenye Certificate .. clinical officer ...... AMO..... baada ya AMO you can apply for bachelor nadhani hiyo ni altenative ya kuingia medicine na matokeo ya form 4 ..... ni njia ndefuu
 

sawa mkuu...
 
Bro doctor ni kazi toka moyoni sio after money,
ukiwa na tamaaa hutafanya kazi vizuri,
utaishia kushinda ktk duka/dispensary binafsi, kufanya biashara haramu kama kuiba dawa au even abortion kwa watoto wa shule.
change that attitude bro!

sawa ni kazi ya moyo lakini still huwezi ukasoma miaka yote na usiangalie maslai
 

nimekupata mkuu..
 

i lyk that advice..big up
 

Alafu wanasiasa wakichakachua unawalaumu kama wewe una mawazo ya kuvunja taratibu za procurement
 

sio kweli, kuna nchi huwezi kufanya kazi
 
Kwani recently pharmacist na medical doctor wana tofautiana kiasi gani kwenye take home zao?
Na mshahara wa pharmacist ni kiasi gani?
 
hawako mbali sana ila MD z somehow ahead japo mi naipenda sana pharmacy than MD...A level nilikuwa CBG now naingia second year may GOD bles me
 
hawako mbali sana ila MD z somehow ahead japo mi naipenda sana pharmacy than MD...A level nilikuwa CBG now naingia second year may GOD bles me


Zote zimekua za kawaida sana,kama ni mapenzi ya fani it's wise to take that lakini kama ni pesa,huwezi kufanya kitu cha maana...hata ajira saaiv ni kwa kujuana aseee....
 
Jaman nna F,E,E(PCB) ya form 6 na C,C,C(PCB) ya form 4...niliomba diploma ya pharmacy muhimbili.Je kwa matokeo haya naweza kuchaguliwa?na kweli muhimbili wanaangalia matokeo ya form 4 tu sio ya form 6 kwa upande wa diploma?msaada tafadhali...
 
safi kaka nami CBG nimepata MD bugando!

kumbe sometimes phys ni kuumza tyu kchwa....ila hakikisha unapga one au two ya alfajir na kene bio na chem atleast flat C.,usifel bam coz huyu ndo refa wako instead of phys...ila pia o-level anzia C ya phys baada ya hapo habar ni njema.....nambie LUFE ndo unaingia 1st year?..
 

yap MD 1 bugando hapo 12 oct! nlijazaga hiyo st john pharmarcy pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…